RAILA ODINGA: Tarehe 12, Disemba nitapishwa na kuingia Ikulu

Huyu mzee sasa anatafutwa ''kupimwa mkojo''. Anachotaka kufanya ni uhaini na wala hatoweza kutimiza ndoto yake hiyo.
 
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Nasa, Raila Odinga amedai atakula kiapo kama “rais wa watu” Desemba 12.


Akiwahutubia wafuasi wake katika barabara ya Mayanja baada ya kutawanywa na polisi kwenye viwanja vya Jacaranda, alisema atatumia Ibara ya 1 kuapa inayosema mamlaka ya nchi yanatoka kwa watu.


“Mimi si mwoga. Mimi nitaapishwa Siku ya Jamhuri, mimi ndiye rais halali,” alisema akijibu malalamiko ya wafuasi wake waliosikia awali akisema hawezi kula kiapo ili asichafue taswira yake kimataifa.


Awali mkutano huo ulikuwa umepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Jacaranda ili kuomboleza watu waliouawa na polisi hivi karibuni ulisambaratishwa na polisi.


Polisi kuanzia mapema asubuhi walifunga eneo lote la Jacaranda ambako ingefanyika misa hiyo ya kumbukumbu sambamba na tukio la Rais Uhuru Kenyatta kuapishwa kuongoza muhula wa pili wa miaka mitano baada ya kushinda uchaguzi wa marudio Oktoba 26.


Magari makubwa ya polisi yalionekana yakiranda eneo hilo na watu waliojikusanya walitawanywa kwa mabomu ya machozi.
Baadaye Nasa walijikusanya barabara ya Mayanja.
 
wana Naswa akina Sammuel999 wampeleke huyu punguani hospitali. How much misfortune can one man take?? He lost 4 elections, a son, a daughter who is critically ill, a son who suffered a stroke a while back and no heir apparent.....
 
Atafute tu njia nyingine,Rais akishaapa habari imeisha.
Naona ananyemelewa na maradhi ya Seif Sharrif Hamad
 
Nadhani bajeti ya mazishi yake ishapangiliwa tayari...!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Raila hujifanya yeye ndiye mfuata katiba sana ilhali yote ni uongo.
Anaapishwa on the basis of which election?
August 8th alishindwa.
October 26th hakushiriki.

Ni uenda wazimu tu!! Raila hata wangerudia kura mara 20 hangaliweza kushinda kabisa. Jivunze historia ya Kenya tangu 1966, yeyote anayetaka kuwa kiongozi wa nchi ni sharti ashirikiane sana na Kalenjins na GEMA(Kikuyu, Embu, Meru na Akamba) bila hivo Urais ni ndoto kama anategemea Luo Nyanza!! Alifanya kosa kubwa sana kumfukuza William Ruto uanachama wa ODM ambaye ni Mkalenjini 2009 or so.
 
Nadhani bajeti ya mazishi yake ishapangiliwa tayari...!

Niliona kwenye utabiri wa mchungaji moja ila hao ni feki tu - ni kuchuria tu kama waswahili wasemavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…