Raila Odinga, the political dinosaur of Kenya

Raila Odinga, the political dinosaur of Kenya

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Hey fellow East Africans, please remind Raila zodinga, that he is now irrelevant, he should pass on the political wand to a younger generation.

His kind of politics reminds me of the long extinct dinosaurs, and he is heading that way, fast.
 
Hana jipya muzee ya kitendawili zaidi anataka kuleta machafuko ambayo watu wahi wataumia

Je atawatibu baada ya kuumia law vijana wengi?

Wakenya katiba sio msaafu msihoji kupitiliza na msije ona Ruto ni mbaya akifanya mambo yake

Nb" Hakuna serikali duniani inamletea mtu mmoja mmoja chakula kwa nyumba yake

Wakenya chapeni kazi achananeni na muzee ya kitendawili
 
Rail is venturing into a political adventurism.
Sadly he doesn't care vijana wakifa, as he is using the for his own ends.
 
Amepigia sio polepole
Watamuua huyu mzee
Screenshot_20230320_165459.jpg
 
Back
Top Bottom