Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Rail is venturing into a political adventurism.Hana jipya muzee ya kitendawili zaidi anataka kuleta machafuko ambayo watu wahi wataumia
Je atawatibu baada ya kuumia law vijana wengi?
Wakenya katiba sio msaafu msihoji kupitiliza na msije ona Ruto ni mbaya akifanya mambo yake
Nb" Hakuna serikali duniani inamletea mtu mmoja mmoja chakula kwa nyumba yake
Wakenya chapeni kazi achananeni na muzee ya kitendawili
Watamuua huyu mzeeAmepigia sio polepole
Siyo kweli lakini inabidi huyu muzee akwende zake Kenya kuwepo amani.Watamuua huyu mzeeView attachment 2559331