Raila Odinga wahenga waliposema kuwa Kikulacho ki Nguoni mwako na Adui yako ni Rafiki yako wala hawakukosea

Huyu mzee nae astaafu siasa asiwe kama Wassira
 
Sasa pesa yote aliyotumia kwa kampeni (Ksh 2bn) atazirudishaje?

Naye Zakayo, aliyekuwa mpiga debe wake mkuu na mfadhili mkuu wa kampeni yake, naye kamtosa mazima.

Duru za ndani kabisa zinadai amepanga kuliamsha lile kundi la Gen z wakichafue tena ili apate platifomu ya kumpiga zakayo mabilioni ya pesa.
 
Hv bwege huoni ht aibu? Ht haya huna? Unajisikiaje kuwa mpumbavu hivyo? Nimekudharau mpk chenji inabaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…