Raila Odinga yuko wapi?

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga pamoja na Viongozi Wakuu wa Muungano wa Azimio akiwemo Martha Karua hawajulikani waliko.

Vilevile Wabunge kadhaa wa Muungano wa Azimio akiwemo Mheshimiwa Babu Owino wangali bado kujitokeza hadharani.

Haijabainika wazi iwapo ni mpango wa Raila kutojitokeza hadharani au amezuiliwa nyumbani kwake na maafisa wa polisi.

Ikumbukwe Odinga ni moja kati ya Viongozi waliopokonywa walinzi wao na Serikali.
 
Leo maandamano yalikuwepo ?....
 
Tetesi zinasemaje ?

Nadhani wewe Kenyan utakuwa na access nzuri zaidi ya kuleta majibu kuliko sisi...., Habari za kwenye Grapevine zinasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…