Raila Odinga

Raila Odinga

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
Huyu hapa ni bintiye Raila Odinga, kwenye hafla ya Azimio La Umoja iliyofanyika tarehe 10/12/2021 leo.
20211210_191754.jpg
 
Raila will win ..Ruto ingawa ametokea kuvuta vijana wengi in ground but Support za governos,Mps,senetor etc Hana...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu hapa ni bintiye Raila Odinga, kwenye hafla ya Azimio La Umoja iliyofanyika tarehe 10/12/2021 leo. View attachment 2039612
Huyu binti ana miaka 32 kasoro, hajaolewa Bado alisha piga chini proposal Kama 2 ivi za majamaa yaliyojitelea kumtongoza

Aliwah kusikika akisema ataolewa mwaka 2022 na harusi yake itafanyika ktk viwanja vya ikulu

My take, nahisi huyu binti ni Lesbian
 
Raila will win ..Ruto ingawa ametokea kuvuta vijana wengi in ground but Support za governos,Mps,senetor etc Hana...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani hao Mps na Senetors wanazidi Kura 600? Labda wahubili ukabila kwenye Majimbo yao.

Senetor hawezi kunipangia wa kumpigia Kura Mimi Kama Mpiga Kura wa kawaida.
 
Raila Odinga shares a birthday with Vybz Kartel #77@7
 
Huyu binti ana miaka 32 kasoro, hajaolewa Bado alisha piga chini proposal Kama 2 ivi za majamaa yaliyojitelea kumtongoza

Aliwah kusikika akisema ataolewa mwaka 2022 na harusi yake itafanyika ktk viwanja vya ikulu

My take, nahisi huyu binti ni Lesbian
Huyu ndie binti wa Kitendawili? Mtupe na binti wa hustler
 
Huyu binti ana miaka 32 kasoro, hajaolewa Bado alisha piga chini proposal Kama 2 ivi za majamaa yaliyojitelea kumtongoza

Aliwah kusikika akisema ataolewa mwaka 2022 na harusi yake itafanyika ktk viwanja vya ikulu

My take, nahisi huyu binti ni Lesbian
Nani amuoe huyu.....!!???
siuoni uanamke hapo
 
Back
Top Bottom