SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Kaoe moderators pelekeni hii Mada jukwaa la mapenzi harakaPisi kali
Tunatofautiana..hapo pisi kali iko wapi?Pisi kali
Pisi kali
Yeho vipi, umechanganywa na nini?Kaoe moderators pelekeni hii Mada jukwaa la mapenzi haraka
Huyu binti ana miaka 32 kasoro, hajaolewa Bado alisha piga chini proposal Kama 2 ivi za majamaa yaliyojitelea kumtongozaHuyu hapa ni bintiye Raila Odinga, kwenye hafla ya Azimio La Umoja iliyofanyika tarehe 10/12/2021 leo. View attachment 2039612
Kwani hao Mps na Senetors wanazidi Kura 600? Labda wahubili ukabila kwenye Majimbo yao.Raila will win ..Ruto ingawa ametokea kuvuta vijana wengi in ground but Support za governos,Mps,senetor etc Hana...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Raila ana support ya deep state kuliko RutoRaila will win ..Ruto ingawa ametokea kuvuta vijana wengi in ground but Support za governos,Mps,senetor etc Hana...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa kenya hiyo ni bonge ya pisi mzeeTunatofautiana..hapo pisi kali iko wapi?
Huyu ndie binti wa Kitendawili? Mtupe na binti wa hustlerHuyu binti ana miaka 32 kasoro, hajaolewa Bado alisha piga chini proposal Kama 2 ivi za majamaa yaliyojitelea kumtongoza
Aliwah kusikika akisema ataolewa mwaka 2022 na harusi yake itafanyika ktk viwanja vya ikulu
My take, nahisi huyu binti ni Lesbian
Nani amuoe huyu.....!!???Huyu binti ana miaka 32 kasoro, hajaolewa Bado alisha piga chini proposal Kama 2 ivi za majamaa yaliyojitelea kumtongoza
Aliwah kusikika akisema ataolewa mwaka 2022 na harusi yake itafanyika ktk viwanja vya ikulu
My take, nahisi huyu binti ni Lesbian
hahahahaNani amuoe huyu.....!!???
siuoni uanamke hapo
hustler binti yake si kaolewa na MAPOPO wa WESTHuyu ndie binti wa Kitendawili? Mtupe na binti wa hustler