Wameanza fujo Mathare, Kibera na Kawangware. Dont care which side you are on but if this guy is allowed to talk on Live TV ni very risky at this time. Hajasema the next step na kameanza kunuka, je akitaja? Good thing the media is not talking about violence.
Mkuu umehadithiwa au ndio unaamka?Nani aliwaambia walete ushaihidi? Sasa wamelaaniwa nani sasa hapa na nani kawalaani? Kinachoendelea hadi mikutano kupigwa marufuku,sheria iliyotaka mamlaka pekee yenye haki ya kutangaza matokeo na ikishatangaza hakuna mjadala zilikuja kwa nini?Sasa kuja wajazia wakenya haya mawazo yaliyopinda ili iwasaidie wao na wewe nini? Ni wajamaa tu ndio wanaodhani ujinga wao unahitajika na dunia.Yaani anachoongea Raila ni SAWA kabisa na hoja za UKAWA mwaka 2015. Unasema kura zinazotangazwa ni tofauti na kura zilizosainiwa na ma agents wa vyama vya siasa. Basi toa hata county moja ya Kenya yenye discrepancy. Loeassa na UKAWA walishindwa kuonyesha hata kata moja yenye discrepancy na hata Odinga hataweza kuthibitisha kidhulumiwa. Wote wamelaaniwa will never be marais wa nchi hizi. Sijui watubu vipi ila sio kupitia matapeli kama TB Joshua!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila the MOST WANTED IN ALL INTERNATIONAL COURTS IS UHURU. By the way Mungiki wanakula bata wapi sasa hivi?Raila sio mwanasiasa ni Warlord
Kah.. ili nini?Waseme Jaluo alikuwa under the influence ?Kwa kauli zake sio reliable? teh teh. Africa siku tutakuwa huru ni siku tutaweka sheria ya kuwanyonga wanasiasa baada ya awamu moja.Akapimwe mikojo au huko hii kitu haijafika?
I am afraid unaweza kuwa hujui NYANI HAONI KUNDULE. Yule mtoto wa mfalme alisema nini kule kibaha?Watu walifunika tuu kombe mwanharamu apite na sasa Tanzania mwanaharamu sio tuu anapita ila anaishi kabisa.Kila mara mchezo ni ule ule, na mahubiri amani yetu ni muhimu sana upo palepale.Ila hakuna aliyewahi kusema jamani sasa hivi ni zamu ya wanaocheza na democrasia kisha kuwaomba wengine wakubali hasara ili kutunza amani yetu. AMANI YA AFRICA INATUNZA NA WANAODHULUMIWA na NI HARAMU KWA MWIZI KUWAJIBIKA. Kweli ktk kiswahili umekosa neno lingine la kuelezea tofauti ya Tanzania na Kenya zaidi ya kutumia neno WAMESTAARABIKA? Tanzania akuna utamaduni mmoja ambao unakwenda mbele.Tanzania kuna migogoro mingi ya kiustarabu ndio maana Tanzania haiendi mbele kwa jema au kwa baya.Watanzania wamestaarabika, unaenda vipi kumuua jirani yako kwa sababu tu mna tofautiana kabila au itikadi?
KweliKama unataka asiruhusiwe, iebc waharakishe walete hizo docs from vituo vya kura ambavyo Odinga anavitaka.
Hata Odinga angeshinda ingekua kulipiza kisasi ,to gloat and to implement destructive policies.Kenya hata angeshinda odinga ingekua violence tu shida umeshikiwa akili na wanasiasa
sent from nyumbu moderators
teh teh. The problem is who will blink First, im sure the Weeder man will blink first so many times in so many areas at this critical moment. Then he will have no other option than to glue himself forever in DA HOUSE like Mugabe.dont worry...in the next few days we will find out the real results and he will go home forever....hakuna mtu wa NASA atamkubali asimame tena kama flag bearer...
Acha bangi mkuu. Hizo sababu zinawafaa nyie. Wewe ndoto za majinamizi zako ndio ziamue uchindi wa mtu aliyeshiriki uchaguzi kwa haki? Unaweza thibitisha hayo?Hicho kisasi ni cha nini?kuna ubaya mliufanya?Sasa mnataka upite bure na pia utumike kuchukua haki ya mtu kwa vile mlishachukua haki ingine?Hata Odinga angeshinda ingekua kulipiza kisasi ,to gloat and to implement destructive policies.
Inakaa wewe humjui Odinga .Walisema mtu wao akiingia hakuna kulipa kodi ya nyumba tena(kumbuka wakikuyu ndio Landlords wengi Nairobi) na pia Odinga alitaka makabila fulani wafukuzwe kajiado.Sasa hiyo ndio haki mkuu?Acha bangi mkuu. Hizo sababu zinawafaa nyie. Wewe ndoto za majinamizi zako ndio ziamue uchindi wa mtu aliyeshiriki uchaguzi kwa haki? Unaweza thibitisha hayo?Hicho kisasi ni cha nini?kuna ubaya mliufanya?Sasa mnataka upite bure na pia utumike kuchukua haki ya mtu kwa vile mlishachukua haki ingine?
Nimjue wa nini ktk issue very obvious?Stop being lunatics guys. hakuna kulipa kodi nyumba za nani?za serikali au wananchi?Km ni za serikali then atahitaji kuja na solution ya kuweza zi maintan, na solution ya jinsi gani atawapa watu wote haki ya kupata nyumba za bure.What is your concern? Km ni umma huoni sasa imefikia mahali wakikuyu nao wawape nafasi na wengine wapate hiyo community benefit? Kwanini wafukuzwe kajiado?Kwani ardhi kenya ni mali ya serikali? Where didi you get all these stories? Lumumba au ktk kibanda ya kuuza chang`aa.Inakaa wewe humjui Odinga .Walisema mtu wao akiingia hakuna kulipa kodi ya nyumba tena(kumbuka wakikuyu ndio Landlords wengi Nairobi) na pia Odinga alitaka makabila fulani wafukuzwe kajiado.Sasa hiyo ndio haki mkuu?
Hii ndiyo asili ya uchaguzi wa Kenya.Hawa jamaa wanajitamba na " demokrasia", lakini uchaguzi wao umejaa ukabila, ubaguzi, vurugu za kijinga na umwagaji damu. Najivunia kuwa Mtanzania kwa kweli.
Kenya ardhi ni mali ya mtu/mwananchi tofauti na Tanzania ardhi ni mali ya Serikali.Nimjue wa nini ktk issue very obvious?Stop being lunatics guys. hakuna kulipa kodi nyumba za nani?za serikali au wananchi?Km ni za serikali then atahitaji kuja na solution ya kuweza zi maintan, na solution ya jinsi gani atawapa watu wote haki ya kupata nyumba za bure.What is your concern? Km ni umma huoni sasa imefikia mahali wakikuyu nao wawape nafasi na wengine wapate hiyo community benefit? Kwanini wafukuzwe kajiado?Kwani ardhi kenya ni mali ya serikali? Where didi you get all these stories? Lumumba au ktk kibanda ya kuuza chang`aa.
Sasa huyo jamaa anataka leta hadthi za kuhadithia ktk chai lumumba ktk jukwaa la watu wenye utamaduni tofauti. Uswahili umeahribu sana siasa za ccm na elimu ya nchi. Watu wanachukua habari za kufikirika wanazifanya kuwa km habari za hali ya juu, na kitechnologia sana.Kenya ardhi ni mali ya mtu/mwananchi tofauti na Tanzania ardhi ni mali ya Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tume iache ubabaishaji hizo fomu ndio watumie waache. Wasisababishe shida kwa wakenyaKama unataka asiruhusiwe, iebc waharakishe walete hizo docs from vituo vya kura ambavyo Odinga anavitaka.
Sisi ndiyo chaguzi zetu zikose hila ?!! Kwa tume hizi za kina Lubuva na huyu jamaa wa Zanzibar nimemsahau jina, mpaka leo anajificha jificha!!! Tz ndiyo hali ni mbaya sema WaTz hawajali sana.Hawa jamaa wanajitamba na " demokrasia", lakini uchaguzi wao umejaa ukabila, ubaguzi, vurugu za kijinga na umwagaji damu. Najivunia kuwa Mtanzania kwa kweli.
hаkunа аmаni. Bila hakiTuwaombee majirani,ndugu na jamaa zetu hili jambo liishe kwa amani. Vita mauaji si kitu kizuri Mungu Baba anyooshe mkono wake wa Amani ili iwekwa mapenzi mema.
Sent using Jamii Forums mobile app