Raila Uhuru handshake solid as rock.

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
PRESIDENT KENYATTA appoints Interior CS Matiang’i to chair a new committee of all CSes; to supervise all government projects, including Big Four agenda.
 
Hehehe! Sidhani kama hii inahusiana na handshake, rais Uhuru anataka kufanikisha hiyo 'big four' yake, muda unayoyoma na hatua anazopiga haziendi kwa kasi aliyotegemea, hivyo inabidi aweke waziri kichaa asimamie haya mambo, awe anajtoa ufahamu na kufanikisha kwa kasi.
La handshake lipo na haliondoki, maana anajua asipoendana na Raila, hatofanikisha chochote maana Raila atamsumbua sana, upande wa Ruto hamna tatizo maana Ruto leo hii naibu wa rais, anazo nguvu za dola na serikali yote iko kwenye kganja chake, hiyo kwa kingereza tunaita head-start, Ruto ni kiongozi mjanja sana na anajua jins gan ya kutumia mamlaka yake, tena subri uone atakua wa kwanza kupongeza uteule wa waziri Matiang'i kuwa mkuu wa miradi.

Halaafu wewe simplemind vipi siasa za Zenji, mnafaa na nyie muige handshake ya kuwakutanisha Shein na Seif wasalimiane kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa, pia kama Magufuli na Lowassa walivyoiga handshake ya Kenya. Muungane katika kuunga mikono juhudi za wakulu...hehehe najua hapo nimetupa jiwe gizani.
 
We kutwa unaweweseka na watz

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We lead others follow - baada ya muafaka (Karume na Maalim) kuliundwa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hadi spoilers walipo vuruga Uchaguzi uliopita na kupelekea CUF kususia uchaguzi wa marudio.
Ndugu jengeni tamaduni ya kulipa deni nashangaa baadhi mnasema hamna deni la kulipa zaidi ya mpesa -Ha ha ha.
 
Uhuru, Raila rarua ngege and Ugali portside city of kisumu.
Uhuru dashes to Mombasa and raruas sinia ya pilau na ertwhile foe Joho.
The handshake is as solid as a rock....Iam telling you.
 
Atwoli amechomekea "ting'ili "
Atwoli said the reorganisation in government will tame politicians known for dishing out projects to their loyalists, a move he says threatens national unity.
The handshake is as solid as a rock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…