Rainbow cake

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji

1)Unga 12 tablespoon..
2)mayai 6
3)siagi 1/4 kg (punguza kidogo ili keki isiwe na mafuta mengi).
4)sukari 1/4 kg..
5)rangi (food cloring) upendazo..
6)baking powder 1 teaspoon...
7)vanilla powder au flavor upendayo..

Namna ya kutaarisha

1)weka kwenye bakuli sukari na siagi....saga kwa handmixer hadi vilainike.

2)add mayai...changanya vizuri

3)katika bakuli lengine changanya unga na baking powder..

4)weka unga kidogo kidogo kwenye mchanganyiko wa sukari na siagi na changanya vizuri hadi umalizike..

5)weka flavor upendayo katika mchanganyiko wako....

6)gawanya mchanganyiko wako kutokana na idadi ya rangi ulizochagua mfano (pink,yellow,green,purple n.k)


7 ) mimina kwenye trey rangi moja badala ya nyengine kama ufanyavo kwenye zebra cake...


8)weka kwenye oven 300Β°-350 hadi keki iwive vizuri....

Keki tayari kuliwa..
 

Attachments

  • 1387113463952.jpg
    95.7 KB · Views: 711
  • 1387113481434.jpg
    27.8 KB · Views: 678
  • 1387113494539.jpg
    78.9 KB · Views: 676
wow keki nimeipenda.mimi nikipika huwa rangi zangu ni 2 tu,either kati nitaweka rangi ya chocklate,au nyekundu.i will definetly try this.recipe zako unazoweka mpaka picha huwa inapendeza,na mara nyingi picha zake huwa zinavutia
 
Yaani huwezi amini imetoka jikoni imepoa wameishambulia na the next day it was gone, was soooo nice

Owh mie ndio sikubakshiwa😱😱😱😱😱
 
wow keki nimeipenda.mimi nikipika huwa rangi zangu ni 2 tu,either kati nitaweka rangi ya chocklate,au nyekundu.i will definetly try this.recipe zako unazoweka mpaka picha huwa inapendeza,na mara nyingi picha zake huwa zinavutia

Santeeee...
 
Rangi zinavutia hasaa!
Inatamanisha kwa kweli.
Shukran mamy
 
Asante sana dia

Dah sijui hata nisemeje mpaka nashundwa nichague kipi
 

wowwww....very colorful!!!!!!

Natamani kufika toronto dkk hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…