ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jul 12, 2011 #21 mkuu mbona mi naona atakuwa ni zitto kwani alienda na mkuu wa kaya kupata exposure kule sudan kusini..
mkuu mbona mi naona atakuwa ni zitto kwani alienda na mkuu wa kaya kupata exposure kule sudan kusini..
Laurence JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 3,104 Reaction score 423 Jul 12, 2011 #22 Mpaka sasa mimi huyu ndie Rais wangu ninaemjua wala hili halina mjadala.
Shinto JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 1,781 Reaction score 96 Jul 12, 2011 #23 Tuondolee hiyo takataka! Kama wewe unamkubali mwambie aje awe rais wa nyumbani kwako!
C chimwaga Member Joined Jul 12, 2011 Posts 19 Reaction score 1 Jul 12, 2011 #24 kwa kweli na kubaliana na mada hakika ina bidi tu shirikiane wote ku hakikisha tuna mpa nchi hii Dr Slaa coz ndio kiongozi muadilifu pekeee aliye bakia katita ki zazi hiki.
kwa kweli na kubaliana na mada hakika ina bidi tu shirikiane wote ku hakikisha tuna mpa nchi hii Dr Slaa coz ndio kiongozi muadilifu pekeee aliye bakia katita ki zazi hiki.