Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

STUXNET hongera kwa uloliona kabla lilotokea halijatokea.
Sasa naomba ushauri unaohusu WIZI uliofanywa na wenye mamlaka enzi za jiwe kwa kuwatumia walio chini yao na kwa vitisho leo waliotumika tu wameingia kwenye matatizo wanatuhumiwa na PCCB kuwa walifanya huo ubadhirifu wakati walitumika tu,na hao wenye mamlaka na hawakukamatwa kwa kuwa walikuwa making hawakuweka mkono wao kwenye hizo transaction,je tukubali vijana wetu wafungwe kwa makosa ya mabosi wao
 
Leo tarehe 5/04/2022 mahakama Kuu ya Ardhi saa 3.00 asubuhi kesi namba 56/2022 imetajwa kwa mara ya kwanza. Kesi imefunguliwa na Mtumwa Jumanne na wenzake mbele ya jaji Arufani kupinga hatua ya Serikali kubomoa nyumba zao wakati kulikuwa na zuio la mahakama.

Stuxnet Asante kwa maono
 
Leta mrejesho mkuu, huu ni unabii je umetimia?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Tayari kuna award ya mwekezaji Mswidi

Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.

Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya kuzalisha sukari kwa ajili ya kuuza nje ya nchi na ethanol ili kuzalishia umeme.

Mradi huo ulipata pingamizi kutoka kwa wanaharakati wa ndani wakiwawakilisha wakulima 1,300 ambao bado walikuwa wakitumia ardhi hiyo. Pia muwekezaji huyo aliilaumu Serikali ya Tanzania kushindwa kutengeneza kanuni za sekta ya sukari na kufanya ardhi hiyo kuwa na vikwazo.

Serikali mwaka 2016 ilifuta hati hiyo. Aprili, 2022 Mahakama iliipa ushindi wa tuzo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 165 Kampuni ya EcoDevelopment. June 16, ikiwa ni siku moja baada ya ICSID kupokea maombi ya Tanzania kubatilisha hukumu hiyo, Ecodevelopment ilipata ruhusa (leave) kutoka kwenye mahakama ya wilaya ya The Hague kutimiza na maamuzi ya upande mmoja kutoka kwa jaji wa Limburg yaliyotoa kibali cha kuishikilia ndege.

Ndege ya Airbus A220 ilikuwa tayari imenyimwa ruhusa ya kupaa tangu Januari kwenye kiwanja cha ndege cha Maastricht

Ukisikia umuhimu wa kuwa na Business Plan kabla huja implement project yeyote ndiyo kwenye maeneo kama haya.

Kama ingakuwapo basi chapter ya Risk Framework ingeyadadavua yote haya na kuonyesha namna ya kutoka kwenye migogoro kama hii.
 
Na hapa hakuna mjadala ilipwe hela au ndege ipigwe mnada.
 
Tayari huko
 
Haya mambo ndiyo yamesababisha ndege ya atcl imetekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…