Huyu hapendi kulipa madeni ndiyo maana Mkulima wa Joburg akakamata ndege. Nadhani unajuwa kuwa ATCL hairuki tena kutua OR Tambo Int. Airport kwa kuwa yule mkulima hajalipwa bado.Kama ambavyo na yeye anatakiwa alipe madeni ya yule mkulima anaeidai serikali tangu 80s. Chuki ni kitu kibaya sana. Mwinyi kalipa madeni,Mkapa kalipa madeni hadi yakafutwa,Jk kalipa madeni,JPM analipa madeni. Sasa kibaya au cha ajabu nini Rais ajaye akilipa madeni?
Shida inakuja je miundimbunu aliyoileta itachochea kukuza uchumi? Kwa mfano je SGR ya kuishia Kahama/ Rusumo italipa gharama za ujenzi kwa kipindi tarajiwa? Au Je hiyo Stiglers gorge itakuwa imekamilika kwa wakati? Pili je itaweza kweli kuzalisha hizo Megawatti 2000 kwa kiasi cha maji ya bonde la Mto Ruvu?Si
Si mbaya kama kazi yake itakuwa hiyo maana miundombinu itakuwa tayari kila kona, tatizo alipe madeni wakati huo bado anajenga miundo mbinu hiyohiyo iliyokopewaa.
Nani kakwambia atatoka?
HayaAsitoke yeye kawa Mungu?
Kagame na Mseveni kwani wao kinanani hadi hawatoki?Kwani ye ni nani mpaka asitoke?
Miaka 58 Nchi yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani bado tunaimba imba miundo Mbinu utazani ni pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu malaika toka chato.Si
Si mbaya kama kazi yake itakuwa hiyo maana miundombinu itakuwa tayari kila kona, tatizo alipe madeni wakati huo bado anajenga miundo mbinu hiyohiyo iliyokopewaa.
Wote hao ipo siku watatoka tu kwani congo ikikaa sawa wakakosa pa kuiba madini kugharamia majeshi yao lazima wang’oke tu, hakuna mabaya yasiyo na mwishoKagame na Mseveni kwani wao kinanani hadi hawatoki?
Hawa watu wanaropoka tu wao kila kitu kupingaHizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria
Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania
Tatizo hujui
Lazima atoke, akikataa kwa demokrasia tutamtoa kwa mtutu kama Omar Bashir wa Sudan.
Mbona Babuseya alitokabaada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.
hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.
chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara