Anayefurahi kunyanganywa alichonacho ni nani huyo??baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.
hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.
chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
Jana muarusha mmoja karudi CCM. Endelea kuishi na ndoto nyingi.1. Makonda
2. Dotto James
3. Kalemani
4. Ole Sabaya
5. Chalamila
6. Kicheere
7. DPP
Hawa hamna namna watachezea kùta za Segerea kama Mramba na Yona
Kwa hiyo Kwa akili yako tusijenge stigglers gorge , je wajua development issues zinakuwa finance by long term capital ambayo ni mikopo, hata hizo developed countries wana yo njia zao za kutekeleza hiyo miradi ikiwemo mikopo, hata hapa hapa tz ktk level ya familia kuna mambo tunafanya Kwa mikopo kama mortagage financing.Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;
1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni
2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.
3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Takwimu unazileta mwenyewe ila huwezi kuzi interpret. Very sad, sijui Tanzania mnafundishwa elimu gani. Macho tu yanaonyesha graph ikiwa inapanda kwa slope kali kuanzia 2016 hadi 2018, ila kwenye 2019 kuna fluctuation kwenye quarters ambayo uki sum mwisho wa mwaka itaendelea kuonekana inapanda tu.Hii graph hapa chini ndio deni la taifa. Sasa kama watu wamelishwa maharage au korosho waje wapotoshe tu hapa ni upuuzi ambao umepitiliza. Tuache majungu na tujadili facts. Kama una facts zaidi ya hizi takwimu za BOT karibu.
View attachment 1267135
Actually unaona deni linapungua kidogo lipo sawa na mwishoni mwa mwaka 2018
Hata wewe unajua anayeandika ugoro? Wewe mwenyewe ugoro.Umeandika ugoro mtupu
Uongo na uzandiki
Hoja ataitolea wapi?Kaleta hoja yake ya Ugoro pinga Kwa hoja ili upate uhalali
Tujenge kwa mipango ikiyofanyiwa tathmini na upembuzi yakinifu na siyo kwa matamko na matakwa ya mtu mmoja.Kwa hiyo Kwa akili yako tusijenge stigglers gorge , je wajua development issues zinakuwa finance by long term capital ambayo ni mikopo, hata hizo developed countries wana yo njia zao za kutekeleza hiyo miradi ikiwemo mikopo, hata hapa hapa tz ktk level ya familia kuna mambo tunafanya Kwa mikopo kama mortagage financing.
Na tunaweza kufa kabla ya kulipa hiyo mikopo sasa sijui watoto kama wewe utawalaumu wazazi Kwa kuwaachia deni.
Akili yako itakuwa inatatizo
Ataweza tu kama deni litakuwa bado ni himilivu. Lakini kwa hii kasi anaweza kukuta haturuhusiwi kukopa tena. Kwenye hii milopo kuna kiwango nchi ikifika haikopesheki tena.Si ajabu na yeye akakopa zaidi.Who knows
Jirani yangu mmoja alidhulumiwa zaidi ya bilioni tanoHizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria
Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania
Tatizo hujui
Kuna utaratibu wa kufungua duka la kuuza na kununua pesa. Hayafunguliwi kama vibanda vya chipsi. Lazima yapate Leseni, na mtoaji ni serikali. Sasa hao wenye hayo maduka walikuwa na kosa gani?Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria
Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania
Tatizo hujui
Pesa za uhalifu mkubwa kama huo halafu huwezi kumfunga mtu miaka mitatu??? Nani mwenye mamlaka hayo ya kusema kuwa hizo ni pesa za magendo au mwehu yeyote tu aliwa na madaraka basi akishasema mtu anawekwa ndani miaka lundo hata kama aliyesema hawezi kuthibitisha?Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria
Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania
Tatizo hujui
Umesahau moja ili kulinda hadhi na heshima ya malaika mkuu, awamu ijayo inabidi kulibeba shirika la ndege maana uwezekano wa kujiendesha ni almost hakuna na akiamua kuliacha lijifie utasikia makonda ooh sorry makufuli kafufua shirika la ndege wamekuja hawa wameliuaKuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;
1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni
2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.
3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Kuna utaratibu wa kufungua duka la kuuza na kununua pesa. Hayafunguliwi kama vibanda vya chipsi. Lazima yapate Leseni, na mtoaji ni serikali. Sasa hao wenye hayo maduka walikuwa na kosa gani?
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;
1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni
2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.
3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Kama walikuwa wanafanya kinyume cha sheria, wangeshitakiwa kama wahalifu wengine na sheria ichukue mkondo wake.Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria
Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania
Tatizo hujui
Umeandika ugoro mtupu
Uongo na uzandiki
Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria
Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania
Tatizo hujui
Mungu hawezi kuumba watu wawili wendawazimu watutawale kwa kupokezana. Bado anaipenda nchi yetu Tanzania atatupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/ uelewa.