Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Watu wanatunza kumbukumbu zote rais ajayo atalipa madeni mpaka akome
 
Wote hao kuanzia mwaka 2026 watapata haki zao
 
Hujamwelewa! Soma tena!
 

Atapita kama wengine Maisha yataendelea atodumu milele
 
Huyu alikuja kwa mpango wa shetani. Mungu asingeweza kutuletea jinamizi kama hili!

Nimesema Mungu anacho kitu anataka tujifunze kama taifà kutokana na uongozi huu. Kitu hicho kinaweza kuwa kizuri au kibaya. Na hili hatujifunzi kutoka kwa mtu mmoja tu bali watu wengi; baadhi yao ni watu tuliowaamini kiroho na sasa tunaanza kuwa na mashaka!
 
JPM bado tunae kwa miaka mingi sana usihofu mkuu,tunamuomba Mungu ampe uzima tu. Akikaa miaka kama 20 hivi tutamuomba atuachie chuma kingine kama yeye.
Hata mia mwisho atatoka,Mungu atupi watu wake milele,atakuja mwingine Maisha yataendelea,nyerere alibana Mwinyi akaachia
 

Ufanuzi gani? Kwani lazima utosheleze?Sheria siyo hoja kwani inategemea dhamira ya huyo anayetunga kama ni ovu au njema. Sheria nyingi zilizotungwa katika miaka 3-4 iliyopita zina dhamira mbovu. Baadhi ya sheria hizo zenye nia ovu zimesharekebishwa kwa shinikizo ya Benki ya Dunia! Wabunge wetu wamepiga kelele lakini hazikusaidia. Makaburu wa Afrika Kusini walikuwa na sheria ya kuhalalisha ubaguzi wa rangi na kuwanyima Waafrika walio wengi haki za kidemokrasia. Sheria unayozungumzia imetungwa 2019 wakati utaratibu huu wa watu kununua uhuru wao ulianza mara tu baada ya uchaguzi. Suala hili lilitinga bungeni mwaka huu ambapo serikali ilihojiwa kuhusu sheria inayotumika kufanya hivyo. Kama kawaida utratibu ukatetewa kwa hoja za nguvu lakini baada ya hapo haraka haraka sheria ikatungwa.
 
Chuma kiko Ikulu hadi kieleweke nyie endeleeni kuwewesekaweweseka kama kunguru. Hapa Kazi tu!
 
Kuna watu mnajifanya miamba sana ila ukiguswa kidogo tu kwa ajili ya post kama hii unaanza kulialia na kutafuta huruma eti umeonewa, au huna uhuru wa kutoa maoni. Hiki ulichocomment unaweza kukiita maoni au matusi? Tumia brain wewe.
Wewe ni mlemavu wa akili kama walemavu wengine, hatuna dawa yake. Endeleeni kutetea utawala dhalumu kwa vile mnalipwa kwa kila mnachopost humu.
 
Wazo mujarabu kabisa, babangu alibomolewa nyumba ya ghorofa kimara akiwa na zuio la mahakama mkononi,
awamu ya 5 imejaa dhuluma.

Wangembembelezabembeleza hadi leo huo mradi wa barabara ungekuwa unasubiri zuio la mahakama.
Duh!
Tutamlipaga tu barabara zitakapoanza kujenerate mifweza ya kutosha.
 

Tutalipa tu hivyo vijisenti usijali kamanda!
We fikiria miradi yote hii itakapoanza kutema tutakuwa na sh ngapi?
Migodi, umeme usafiri wa uhakika(Reli,ndege, barabara)

Labda tukichagua wapiga dili tena ndo tutashindwa kulipa.
 
Chuma kiko Ikulu hadi kieleweke nyie endeleeni kuwewesekaweweseka kama kunguru. Hapa Kazi tu!
Angekuwa chuma kweli asingekuwa anatumia betri ya kumuingezea mapigo ya moyo (pacemaker).

Ungejua kuwa ame anguka mara ngapi toka awe Rais usingemwita chuma. Labda chuma chakavu au spana mkononi
 
Tutalipa tu hivyo vijisenti usijali kamanda!
We fikiria miradi yote hii itakapoanza kutema tutakuwa na sh ngapi?
Migodi, umeme usafiri wa uhakika(Reli,ndege, barabara)

Labda tukichagua wapiga dili tena ndo tutashindwa kulipa.
Siyo kila mtu ana uwezo wa kuchambua masuala ya kitaalamu yahusuyo uchumi, biashara na uwekezaji. Subiri zitakapo buma ndiyo utaikumbuka thread hii
 
Angekuwa chuma kweli asingekuwa anatumia betri ya kumuingezea mapigo ya moyo (pacemaker).

Ungejua kuwa ame anguka mara ngapi toka awe Rais usingemwita chuma. Labda chuma chakavu au spana mkononi
Ungekuwa hulii lii kama kasuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…