Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Siyo kila mtu ana uwezo wa kuchambua masuala ya kitaalamu yahusuyo uchumi, biashara na uwekezaji. Subiri zitakapo buma ndiyo utaikumbuka thread hii

Nonsense
 
Wangembembelezabembeleza hadi leo huo mradi wa barabara ungekuwa unasubiri zuio la mahakama.
Duh!
Tutamlipaga tu barabara zitakapoanza kujenerate mifweza ya kutosha.
Uwekezaji wowote unaopuuza mali na haki ya mtu mmoja mmoja siyo maendeleo. Maendeleo yoyote lazima yamlenge binadamu na siyo kumrudisha nyuma.

Usifurahie kuona mwenzio alivunjiwa nyumba wakati kuna zuio la mahakama, jiulize ingekuwaje kama ingekuwa ni nyumba yako!!
 
Wewe ni mlemavu wa akili kama walemavu wengine, hatuna dawa yake. Endeleeni kutetea utawala dhalumu kwa vile mnalipwa kwa kila mnachopost humu.

Na wewe nani anakulipa?
 
Nonsense kwa tabula rasa kama wewe ila kwa wenye akili wanajua kuna nondo

Ungekuwa na akili usingekuwa unalialia wakati wenye akili wanaongoza nchi wewe upo hapa unaganga njaa.
 
Siyo kila mtu ana uwezo wa kuchambua masuala ya kitaalamu yahusuyo uchumi, biashara na uwekezaji. Subiri zitakapo buma ndiyo utaikumbuka thread hii
Haibumi kamanda labda tukosee kuchagua tuwarudishe wapiga madili tena.
 
Kwa kasentensi ka kiingereza uliloandika nawe unajiona unajuwa English?? LMFAO
Wataalam hivi kiswahili sahihi ni unajuWA au unajuA
Mi nahisi siju vyote Kiingereza na Kiswahili
 
Reactions: Ole
Hatakuwa na kazi kwa sababu atauzi mandege yote na kwenda kulipa madeni. Kwa sababu raisi ajaye madege sio kipaumbele chake
 
Kwani sheria ya ardhi inasemaje? mkuu nahitaji ufafanuzi iliusaidie na wengine hapa waliochukulwa ardhi kwa mtindo huo
 
Haibumi kamanda labda tukosee kuchagua tuwarudishe wapiga madili tena.
Kupiga dili ? Mbona hamna mtu anamzidi Jiwe kupiga dili!! Miaka 4 katengeneza Tsh 2.4 Trilion kupitia Uwanja wa Chato, Boeing na Stigler!!
Msijifanye hamumjui mtu aliyekubuhu kupiga dili wakati inajulikana Jiwe akiwa Waziri katengeneza fedha kupitia Kivuko cha Bagamoyo na Nyumba za Serikali.
 

Mwache apige kwani yeye sio Mtanzania? Na wewe kama unaweza nenda kapige!
 
DENI LA TAIFA HALILIPIKI
Hakuna rais wa nchi yoyote anayeumiza kichwa kuhusu kumaliza au kupunguza deni la taifa. Cha kufanya ni kuhakikisha unaendelea kukopesheka
 

Kwa hiyo wewe kasuku huku JF ndio una akili nyingi kuliko wabunge wote pale Idodomia. JF kuna kazi kweli kweli, chacha njomba vipi wewe mwerevu unashinda na njaa huku JF? Maana huandiki bure humu JF kuna kitu ambacho unahitaji kibadilike au umekerekwa nacho ambacho kinafanywa na Serikali, kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…