MWONA MBALI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 460
- 612
Sidhani kabisa kama Rais ajaye wa JMT Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Waziri Mkuu wake Mtarajiwa Waziri Jaffo watakuwa na huu Uwoga wako.Nikiangalia kwa aina ya viongozi tulio nao wakati huu, ni uwazi kuwa wengi hawajiamini katika kutekeleza majukumu yao, wamejawa na uoga mwingi tena wasio jiamini...
Atawaogopa kina nani? Akiwaogopa wananchi wake si tatizo.
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.Nikiangalia kwa aina ya viongozi tulio nao wakati huu, ni uwazi kuwa wengi hawajiamini katika kutekeleza majukumu yao, wamejawa na uoga mwingi tena wasio jiamini...
Sema tupate mtu ambae ni civilized educated na matured ambae atokuwa muogaUkiwa kiongozi ambaye upo chini ya kiongozi mwingine lazima uwe Kama maji yaani nazungumzia FLEXIBILITY Hivyo Basi uongozi hubadili mtu, leo mpole kesho mkali
Naam exactly,Sema tupate mtu ambae ni civilized educated na matured ambae atokuwa muoga
Kama kuna kiukweli hapa ila naamini ikitokea hivi mambo yatakuwa safi saana.Sidhani kabisa kama Rais ajaye wa JMT Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Waziri Mkuu wake Mtarajiwa Waziri Jaffo watakuwa na huu Uwoga wako.
OvaDikteta hawezi kukubali kutoka madarakani
Hii combination imekaa poa Sana.. sema kale kamchezo kao pale lumumba ka mkristo mwislamu and vise versa ndo kanaweza kakakwamisha hlo wazo lakoSidhani kabisa kama Rais ajaye wa JMT Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Waziri Mkuu wake Mtarajiwa Waziri Jaffo watakuwa na huu Uwoga wako.
Tatizo si katiba. Tatizo ni uwezo wa kuchukua hatua iwapo katiba itavunjwa.Kwa katiba hii hakuna uwezekano wa kuwa na rais anayewaogopa wananchi wake.
Tatizo si katiba. Tatizo ni uwezo wa kuchukua hatua iwapo katiba itavunjwa.
Ijapokuwa yeyote mwenye hofu ya MUNGU atakuwa na hofu wananchi wake wakiwa na matatizo hata kwa katiba hii iliyopo.