Rais ajaye huenda akawa mwenye uoga mwingi

Hata Magufuli kipindi kile cha mwanzoni mwa urais wake alikuwa ana uoga uoga hadi watu wakawa wanasema nchi inaongozwa na JK kwa remote,ila sasa tunaongea vingine kabisa.
Alikua mgeni wa jumba jeupe, ila alipolijua vyema vichochoro vyoteeeh, aaaah [emoji648] zinasomwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi nchi ilivyoharibiwa hasa mfumo wa uchumi na zigo kubwa la madeni unaanzaje kutamani kuwa Rais?
 
Usimchurie Meko wewe
 
Heko magufuli hakuna kutukanana kidini wala Albino kuuwa tena, majambazi yote kwisha.To nyengeza za watumishi umma utakuwa umemaliza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…