Rais ajaye wa Tanzania awe Dkt. Hussein Ali Mwinyi ili kuweka balance ya marais wa Bara na Zanzibar, upande wa Bara kuwe na Makamu wa Rais

Rais ajaye wa Tanzania awe Dkt. Hussein Ali Mwinyi ili kuweka balance ya marais wa Bara na Zanzibar, upande wa Bara kuwe na Makamu wa Rais

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Yafaa Rais ajae wa Tanzania awe Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi ili kuimarisha zaidi muungano

1. Nyerere - Bara
Makamu wa Rais -Zanzibar

2. Mwinyi - Zanzibar
Makamu wa Rais - Bara

3. Mkapa - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar

4. Kikwete - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar

5. Magufuli - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar

6. Suluhu - Zanzibar
Makamu wa Rais - Bara

Bara - 4, Zanzibar - 2
 
1. Nyerere - Bara
2. Mwnyi - Zanzibar
3. Mkapa - Bara
4. Kikwete - Bara
5. Magufuli - Bara
6. Suluhu - Zanzibar

Bara - 4, Zanzibar - 2

Yafaa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi aje kuwa rais wa tatu mwenye uraia wa Zanzibar
2025 anatakiwa mgombea Urais Mwanaume wa Bara (Tanganyika) kutoka CCM. Wanawake wameshajaribu imetosha. 2025 twende na Mwanaume, wanaume hoyeee, CCM hoyeee.
 
so tuchague rais kwa kigezo cha kubalance au sio...🤣
humu jf majinga bado ni mengi sana mtanisamehe bure tu!
Muungano - Tanzania Bara + Zanzibar

Ni muungano wa sehemu mbili
 
2025 anatakiwa mgombea Urais Mwanaume wa Bara (Tanganyika) kutoka CCM. Wanawake wameshajaribu imetosha. 2025 twende na Mwanaume, wanaume hoyeee, CCM hoyeee.
Samia yupo hadi 2030, Chama kimeridhia
 
Rais ajaye anapswa kuwa mkristo. Hilo bila kupepesa kabisa anapswa kuwa MKRISTO. Hizi teuzi za kubebana kwa kigezo cha imani zifike mwisho
 
ungeandika na kuchangia matumizi ya serikali ya muuungano ili kubalance matumizi na sio bara kuendelea kubeba mzigo wa kuendesha serikali.
 
Yafaa Rais ajae wa Tanzania awe Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi ili kuimarisha zaidi muungano

1. Nyerere - Bara
Makamu wa Rais -Zanzibar

2. Mwinyi - Zanzibar
Makamu wa Rais - Bara

3. Mkapa - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar

4. Kikwete - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar

5. Magufuli - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar

6. Suluhu - Zanzibar
Makamu wa Rais - Bara

Bara - 4, Zanzibar - 2
Rais ajaye anatakiwa kuwa Mkristo toka Bara. hatuhitaji mabishano hapa. MTanganyika na mgalatia.
 
2025 anatakiwa mgombea Urais Mwanaume wa Bara (Tanganyika) kutoka CCM. Wanawake wameshajaribu imetosha. 2025 twende na Mwanaume, wanaume hoyeee, CCM hoyeee.
Hatutakji tena ujinga.. sasa tutaangalia ukubwa wa nchi na idadi ya watu..
 
Back
Top Bottom