2025 anatakiwa mgombea Urais Mwanaume wa Bara (Tanganyika) kutoka CCM. Wanawake wameshajaribu imetosha. 2025 twende na Mwanaume, wanaume hoyeee, CCM hoyeee.1. Nyerere - Bara
2. Mwnyi - Zanzibar
3. Mkapa - Bara
4. Kikwete - Bara
5. Magufuli - Bara
6. Suluhu - Zanzibar
Bara - 4, Zanzibar - 2
Yafaa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi aje kuwa rais wa tatu mwenye uraia wa Zanzibar
Muungano - Tanzania Bara + Zanzibarso tuchague rais kwa kigezo cha kubalance au sio...π€£
humu jf majinga bado ni mengi sana mtanisamehe bure tu!
Samia yupo hadi 2030, Chama kimeridhia2025 anatakiwa mgombea Urais Mwanaume wa Bara (Tanganyika) kutoka CCM. Wanawake wameshajaribu imetosha. 2025 twende na Mwanaume, wanaume hoyeee, CCM hoyeee.
Rudi darasani kasomo historiaBara ndio nini ?
Jibu swali bara ndio nini ?Rudi darasani kasomo historia
Kwa nini lazima awe mkristo ?Rais ajaye anapswa kuwa mkristo. Hilo bila kupepesa kabisa anapswa kuwa MKRISTO. Hizi teuzi za kubebana kwa kigezo cha imani zifike mwisho
Ulitaka kumrekebisha bahati mbaya hajakosea...wewe ndo fokolombiiii tuBara ndio nini ?
Na wewe jibu swali bara ndio nini ?Ulitaka kumrekebisha bahati mbaya hajakosea...wewe ndo fokolombiiii tu
πππππππ Uncle bright ni mpumbavu kupindukiaso tuchague rais kwa kigezo cha kubalance au sio...π€£
humu jf majinga bado ni mengi sana mtanisamehe bure tu!
Wapiga kura ndio wataamua na wizi wa kura hautakuwepo.Samia yupo hadi 2030, Chama kimeridhia
Rais ajaye anatakiwa kuwa Mkristo toka Bara. hatuhitaji mabishano hapa. MTanganyika na mgalatia.Yafaa Rais ajae wa Tanzania awe Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi ili kuimarisha zaidi muungano
1. Nyerere - Bara
Makamu wa Rais -Zanzibar
2. Mwinyi - Zanzibar
Makamu wa Rais - Bara
3. Mkapa - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar
4. Kikwete - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar
5. Magufuli - Bara
Makamu wa Rais - Zanzibar
6. Suluhu - Zanzibar
Makamu wa Rais - Bara
Bara - 4, Zanzibar - 2
Hatutakji tena ujinga.. sasa tutaangalia ukubwa wa nchi na idadi ya watu..2025 anatakiwa mgombea Urais Mwanaume wa Bara (Tanganyika) kutoka CCM. Wanawake wameshajaribu imetosha. 2025 twende na Mwanaume, wanaume hoyeee, CCM hoyeee.
Kwa sababu ni zamu ya wakristoKwa nini lazima awe mkristo ?