Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Huwezi kupata.kwa style hii nikiwekwa ukuu wa kitengo ntaiba waziwazi na ntaiba sana mpka nijistaafishe
Ni mambo yapi makubwa unayoyatambua wewe?Mnakuza sana mambo
Rais ameshaagiza Wezi wote washughulikiweNi mambo yapi makubwa unayoyatambua wewe?
Jengine ni lipiHili nalo mkalitizame
Kwa hiyo ni "jambo kubwa", au siyo; hadi Rais kaamua kufanya hivyo!Rais ameshaagiza Wezi wote washughulikiwe
Ni jukumu la Bunge kutuambia nani na nani wanafikishwa kwa DPP
Kumtaka Rais ajiuzulu ndio kukuza jambo hukoKwa hiyo ni "jambo kubwa", au siyo; hadi Rais kaamua kufanya hivyo!
Sasa hilo la "Rais kuagiza wezi wote washughulikiwe", ni jambo tofauti tunaloweza kulijadili kama liko sawa au haliko sawa, baada ya kukubaliana kwamba "Mnakuza sana mambo" kama ulivyosema mwanzo haikuwa sahihi.
Hili la "...Bunge kutuambia..." sijui kama ndio utaratibu mahsusi wa kushughulikia wezi, lakini ngoja tusubiri, hakuna haraka, tuone watakavyoshughulikiwa.
Hapana.Kumtaka Rais ajiuzulu ndio kukuza jambo huko
Spika Tulia: CAG ni jicho tu la Bunge lakini hana mamlaka ya kuifanya maamuzi yoyote
Nasi siku moja tutafika huko tukishachoshwa na upuuzi huu uliopo sasa.Marais na viongozi wanaojiuzulu mostly ni wale ambao wananchi husika ni wazalendo na makini, wasiotayari kuvumilia madudu yakitendwa juu ya fedha na mali za nchi yao.
Tanzania mbona ni shamba la...!!!
Hata kile kizazi cha ^Juliasi^ kilisemaga hiko kitu kama wewe tu hapo. Let the change begin with you! It can be done, play your part! Au unaogopa?Nasi siku moja tutafika huko tukishachoshwa na upuuzi huu uliopo sasa.
Hicho kizazi huwezi kukilinganisha na hiki kilichopo leo; pamoja na kwamba hakikuwa na wasomi wengi, lakini watu walijitambua vizuri sana, siyo kama leo hii.Hata kile kizazi cha ^Juliasi^ kilisemaga hiko kitu kama wewe tu hapo. Let the change begin with you! It can be done, play your part! Au unaogopa?