Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Wana Ccm kumbukeni hataMi nadhani pale Rais anapojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe,rais anaonekana amechoka,halafu anasoma ile prepared script.
Magufuli was run to the ground because of overwork. Rais anapaswa kupumzika. Sasa hivi ni majira ya sikukuu mpaka wiki ya pili ya Januari .
Unaishi na samia hapo ikuluMi nadhani pale Rais anapojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe,rais anaonekana amechoka,halafu anasoma ile prepared script.
Magufuli was run to the ground because of overwork. Rais anapaswa kupumzika. Sasa hivi ni majira ya sikukuu mpaka wiki ya pili ya Januari .
Mateso anayotoa kwa Mbowe anatakiwa MAMA atubuKweli Rais Samia amefanya kazi kubwa kwa muda mfupi anahitaji kupumzika ..kuanzia madarasa kila kona,kata au kijiji,reli toka Dodoma mpaka Mwanza, kununua treni ya umeme,shule za kidato Cha tano na sita kila mkoa, vituo vya afya na zahanati, chanjo za kila sampuli zinazotolewa bure kwa wananchi wenye utayari,kuendeleza barabara zilizokwama ujenzi na barabara mpya,ununuzi wa meli na ndege mpya, kupandisha madaraja watumishi zaidi ya elfu tisini,kuajiri watumishi wapya kada mbalimbali,ujenzi wa nyumba za makazi mji mkuu Dodoma,kumalizia miradi ya Hayati JPM.
Bado shughuli mbali mbali zikiwemo ziara,uzinduzi na ufunguzi miradi mbalimbali. Pumzika Rais wetu angalau kwa wiki. Tunajua kuna mema zaidi yanakuja.
Yeye ndio anajua kama amechoka ama la.Mi nadhani pale Rais anapojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe,rais anaonekana amechoka,halafu anasoma ile prepared script.
Magufuli was run to the ground because of overwork. Rais anapaswa kupumzika. Sasa hivi ni majira ya sikukuu mpaka wiki ya pili ya Januari .
Acha uongo,Mi nadhani pale Rais anapojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe,rais anaonekana amechoka,halafu anasoma ile prepared script.
Magufuli was run to the ground because of overwork. Rais anapaswa kupumzika. Sasa hivi ni majira ya sikukuu mpaka wiki ya pili ya Januari .
Kuongoza watu hakuna mapumziko!
Huyu umakamu kwake imekuwa mlango wa kumfikishia pesa LAKINI hana kazi yoyote.Makamu wa urais Jana nimemwaona sijui Yuko kigoma kachoooooka choka sijui kunashida gani
Rais wa nchi ni wa wote hadi wapagani!Atapumzuka Iddi, hii haimuhusu
CHRIST-MASS ❎X-MASS=[emoji3582]
CHRIST-MASS =[emoji736]
Apumzike amefanya kaz Gani? Kuzurura Ng'ambo ndo apumzishwe , bei zinapanda, maisha magum , Sasa tozo ndo usiseme, Kaz anayofanya had apumzikeMi nadhani pale Rais anapojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe,rais anaonekana amechoka,halafu anasoma ile prepared script.
Magufuli was run to the ground because of overwork. Rais anapaswa kupumzika. Sasa hivi ni majira ya sikukuu mpaka wiki ya pili ya Januari .