Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Nyie mbona mmekosa ela ya kusajili vipaji?[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi utopolo hamuwezi endesha club hadi mtegemee mbeleko ya rais? pitisheni hata bakuli bhanaa...
Hii imepotea mada au? Naona kama umechanganya futari na kitimoto.
Hongera mkuuKabla ya Yanga kwenda South Africa, nilishauri Rais atoe ndege ipeleke washangiliaji badala ya tuzo ya 10 ml.
Leo Rais ameridhia kutoa ndege kupeleka washabiki Algeria kwenye mchuano wa marudiano ya fainali ya shirikisho.
Kazi iendelee.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app