Rais amesaini muswada wa marekebisho ya katiba; nini hatima yake?

Rais amesaini muswada wa marekebisho ya katiba; nini hatima yake?

msemakweli10

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
229
Reaction score
46
Wana JF Amani kwenu. Jioni hii spika wa bunge ametangaza kwamba Rais amesaini muswada wa marekebisho ya katiba na kwa hili hakuna mjadala.

Mimi najiuliza, kukutana na viongozi wa upinzani kulikuwa na maana gani?

Na kama amesaini, baada ya kuongeza waliyokubaliana atasaini tena?

Sioni rationale hapa, labda nisaidiwe wadau.

Naona giza kwa nchi yangu kipenzi.

Source: Kutoka bungeni jioni hii.
 
Watanzania tuna amani na utulivu ndio maana wanasiasa wanatuburuza. Kila kona wao wanaweka mambo ya Siasa si ajabu hata kwenye msiba wanaweka siasa.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom