Wana JF Amani kwenu. Jioni hii spika wa bunge ametangaza kwamba Rais amesaini muswada wa marekebisho ya katiba na kwa hili hakuna mjadala.
Mimi najiuliza, kukutana na viongozi wa upinzani kulikuwa na maana gani?
Na kama amesaini, baada ya kuongeza waliyokubaliana atasaini tena?
Sioni rationale hapa, labda nisaidiwe wadau.
Naona giza kwa nchi yangu kipenzi.
Source: Kutoka bungeni jioni hii.