Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

dndagula

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,602
Reaction score
1,650
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk

Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa.

Kwa sasa ni mtego kwa Mbarawa asipoangalia uwanja huu utamwangusha. Inashangaza mradi wa pesa kidogo bn 30 unasuasua mara mkataba bado mara tutasaini Mwanza January, maneno ni mengi hili ni bomu.

Wananchi wamechoka na ahadi nyingi. Tuchukue hatua hili liishe.

Asante Rais kwa maelekezo yako.
 
Watu wamepotezea suala la uwanja wa ndege Mwanza,kuna nini?
 
Back
Top Bottom