Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Nimewiwa kufikiri "detrimental sequalea" ya kupotea kwa watu na hata kuuwawa. Hili limekaaje katika kuwatisha wageni wetu na athari zake katika soko la utalii.
Kenya wamepitia magumu katika sekta ya utalii baada ya tafrani za kisiasa na mengineyo.
Tukiendelea kumsaidia mh.Rais kupambana dhidi ya wahalifu wanaotuletea hamaniko la kuogofya tufikirie na kutafuta Suluhu ya tatizo hilo kwa kuifikiri pia sekta ya utalii na uchumi wetu.
Tumuunge mkono rais wetu katika tamko lake juu ya kupelekwa ripoti ya matukio haya yanayoendelea hapa nchini.
#Nchi Kwanza😍
#Tulidai Uhuru kwa ajili ya usalama wetu na taifa letu😍
#Mwenyezi Mungu mpe siha na nguvu rais wetu aaamin aaaamin😍