Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Huyo ndo ameivuruga kabisaMtu wa kwanza anayeiharibu hii nchi n JK then anafuata Huyo mama yenu
Acha upotoshaji gentleman,Mwaka huu navyojuwa hakuna uchaguzi kila mtu anajuwa jambo moja mama kajiteua kupeperusha bendera na wabunge anao mfukoni !
Niliwahi kusema nchi hii inataka kutawaliwa na kundi dogo linalojiona linafaa kuamua kila kitu katika nchi sasa majibu taratibu mtayaona ya makundi hayo ambayo yapo nyuma ya msoga gang. Mmoja anajonesha ndiye huyu anayeondoa watu wenye ushawishi kwenye jamii ili aje arisishe nchi kwa watu wanaowaandaa!
Rais anaamini nchi ni mali ya CCM ndiyo maana hataki kusikia reform ! Zaidi ya hapo anayemkosoa anasema siyo mwana ccm halisi bali wakuja kwa misingi hiyo hapendi msema kweli wala kukosolewa.
Mzee Kikwete unaendelea kusema huyo mama anatosha kwasababu ya maslahi yako lakini juwa nchi hii inapoekea siyo mtasababisha matatizo.
Nchi hii watu ni waelewa msiamini vyombo vya dolar vipo kwa ajiri yenu.
Tunaomba mzee Butiku atoke hadharani aseme kitu tunapoelekea mgombea kila ziara anayoenda anachuja wagombea ambao wanamkosoa huku yeye akihitaji kura kwa wananchi
Tanazania, my foot!Acha upotoshaji gentleman,
Tanazania ni mali ya wananchi wote na CCM ndio chama kilichopewa dhamana ya kusimamia rasilimali za nchi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi 🐒
Calm down, don't panic gentleman 🐒Tanazania, my foot!
Amekwisha jitangaza mwenyewe na GENGE lake.Leo Suluhu Hassan amesema hata mteuwa @luhagampina kwenye nafasi zake 10, naomba kujua.
Nani kamwambia atashinda Uraisi?
Hii Hoja itengenezewe thread yake peke yake, uchaguzi ni maigizoLeo Suluhu Hassan amesema hata mteuwa @luhagampina kwenye nafasi zake 10, naomba kujua.
Nani kamwambia atashinda Uraisi?
Yani we na Luca mmemshinda level ya utulivu, hamjui kupanic kama yeye....sa si uchukue tu hii nchi jentroman na Luca awe makamu, choice variable waziri mkuu....Calm down, don't panic gentleman 🐒
Mbona unajichanganya sana dogo? Eti unachojua wewe mwaka huu hakuna Uchaguzi Mkuu. Halafu eti Rais anapita anachagua wagombea wake huku akiomba wananchi wampigie kura! Unajielewa kweli?Mwaka huu navyojuwa hakuna uchaguzi kila mtu anajuwa jambo moja mama kajiteua kupeperusha bendera na wabunge anao mfukoni !
Niliwahi kusema nchi hii inataka kutawaliwa na kundi dogo linalojiona linafaa kuamua kila kitu katika nchi sasa majibu taratibu mtayaona ya makundi hayo ambayo yapo nyuma ya msoga gang. Mmoja anajonesha ndiye huyu anayeondoa watu wenye ushawishi kwenye jamii ili aje arisishe nchi kwa watu wanaowaandaa!
Rais anaamini nchi ni mali ya CCM ndiyo maana hataki kusikia reform ! Zaidi ya hapo anayemkosoa anasema siyo mwana ccm halisi bali wakuja kwa misingi hiyo hapendi msema kweli wala kukosolewa.
Mzee Kikwete unaendelea kusema huyo mama anatosha kwasababu ya maslahi yako lakini juwa nchi hii inapoekea siyo mtasababisha matatizo.
Nchi hii watu ni waelewa msiamini vyombo vya dolar vipo kwa ajiri yenu.
Tunaomba mzee Butiku atoke hadharani aseme kitu tunapoelekea mgombea kila ziara anayoenda anachuja wagombea ambao wanamkosoa huku yeye akihitaji kura kwa wananchi
Wanatusubiri sisi wanananchi tuanze kuwarushia mawe ikulu ndio wataanza kuomba mazungumzo ya katiba mpya.Mwaka huu navyojuwa hakuna uchaguzi kila mtu anajuwa jambo moja mama kajiteua kupeperusha bendera na wabunge anao mfukoni !
Niliwahi kusema nchi hii inataka kutawaliwa na kundi dogo linalojiona linafaa kuamua kila kitu katika nchi sasa majibu taratibu mtayaona ya makundi hayo ambayo yapo nyuma ya msoga gang. Mmoja anajonesha ndiye huyu anayeondoa watu wenye ushawishi kwenye jamii ili aje arisishe nchi kwa watu wanaowaandaa!
Rais anaamini nchi ni mali ya CCM ndiyo maana hataki kusikia reform ! Zaidi ya hapo anayemkosoa anasema siyo mwana ccm halisi bali wakuja kwa misingi hiyo hapendi msema kweli wala kukosolewa.
Mzee Kikwete unaendelea kusema huyo mama anatosha kwasababu ya maslahi yako lakini juwa nchi hii inapoekea siyo mtasababisha matatizo.
Nchi hii watu ni waelewa msiamini vyombo vya dolar vipo kwa ajiri yenu.
Tunaomba mzee Butiku atoke hadharani aseme kitu tunapoelekea mgombea kila ziara anayoenda anachuja wagombea ambao wanamkosoa huku yeye akihitaji kura kwa wananchi
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.Mwaka huu navyojuwa hakuna uchaguzi kila mtu anajuwa jambo moja mama kajiteua kupeperusha bendera na wabunge anao mfukoni !
Niliwahi kusema nchi hii inataka kutawaliwa na kundi dogo linalojiona linafaa kuamua kila kitu katika nchi sasa majibu taratibu mtayaona ya makundi hayo ambayo yapo nyuma ya msoga gang. Mmoja anajonesha ndiye huyu anayeondoa watu wenye ushawishi kwenye jamii ili aje arisishe nchi kwa watu wanaowaandaa!
Rais anaamini nchi ni mali ya CCM ndiyo maana hataki kusikia reform ! Zaidi ya hapo anayemkosoa anasema siyo mwana ccm halisi bali wakuja kwa misingi hiyo hapendi msema kweli wala kukosolewa.
Mzee Kikwete unaendelea kusema huyo mama anatosha kwasababu ya maslahi yako lakini juwa nchi hii inapoekea siyo mtasababisha matatizo.
Nchi hii watu ni waelewa msiamini vyombo vya dolar vipo kwa ajiri yenu.
Tunaomba mzee Butiku atoke hadharani aseme kitu tunapoelekea mgombea kila ziara anayoenda anachuja wagombea ambao wanamkosoa huku yeye akihitaji kura kwa wananchi
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.Leo Suluhu Hassan amesema hata mteuwa @luhagampina kwenye nafasi zake 10, naomba kujua.
Nani kamwambia atashinda Uraisi?