Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
JK kweli anapenda mzaha.
Kwa kuwa mikutano yake inajaa watoto wa shule, basi siku hizi anachokifanya kila anakopita ni kucheza kidali po na watoto wadogo.
Hivi munaoshabikia JK muna akili nzuri kweli? Hasa MS