Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,176 Oct 23, 2010 #1 JK kweli anapenda mzaha. Kwa kuwa mikutano yake inajaa watoto wa shule, basi siku hizi anachokifanya kila anakopita ni kucheza kidali po na watoto wadogo. Hivi munaoshabikia JK muna akili nzuri kweli? Hasa MS
JK kweli anapenda mzaha. Kwa kuwa mikutano yake inajaa watoto wa shule, basi siku hizi anachokifanya kila anakopita ni kucheza kidali po na watoto wadogo. Hivi munaoshabikia JK muna akili nzuri kweli? Hasa MS
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Oct 23, 2010 #2 kesha data