Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Nimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua au kufanya ziara za maendeleo hapa nchini. Gharama hizi zinatoka mfuko gani? Kwa umuhimu gani? Ili kumfurahisha nani? Je, Diamond naye anakwenda kukagua miradi?
Tunaomba majibu kutoka wizara husika.
Tunaomba majibu kutoka wizara husika.