Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Ni ziara ya kufikisha ujumbe wa kampeni kwamba watu watumie neti kujikinga na Malaria kwa manufaa yao? Au ni ziara ya aina gani? Kukagua miradi ya maendeleo unahitaji kufikisha ujumbe gani?Nyerere alikuwa anatawala enzi za ujima ambapo music industry ilikuwa poor. Hata hivyo wanenguaji wa ngoma za asili walicheza mbele yake.
Halafu ni hivi, katika kufikisha ujumbe, Sanaa ni moja ya kazi yake.
Ingekuwa umemaliza hata form four ungekuwa unayajua haya.
Kwamba rais Hana ujumbe Kwa wananchi wake?Ni ziara ya kufikisha ujumbe wa kampeni kwamba watu watumie neti kujikinga na Malaria kwa manufaa yao? Au ni ziara ya aina gani? Kukagua miradi ya maendeleo unahitaji kufikisha ujumbe gani?
Acha wenge dozi Bado ππNimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua au kufanya ziara za maendeleo hapa nchini. Gharama hizi zinatoka mfuko gani? Kwa umuhimu gani? Ili kumfurahisha nani? Je, Diamond naye anakwenda kukagua miradi?
Tunaomba majibu kutoka wizara husika.
View attachment 3062710
Mdomo hana? Au mdomo wa milioni 300 ni muhimu kuliko madawati ya watoto? Hauna akili nadhani ndiyo maana unaulizia shule, maana hata bila elimu hili ni jambo dogo la kung'amua kwa akili za kawaida.Bila shaka wewe ni mmoja wa machawa wasio na akiliKwamba rais Hana ujumbe Kwa wananchi wake?
Yaani unataka kuniambia rais anatembea tu bila kizungumza chochote?
Na shule ulienda?
Kwa hiyo hapo Diamond anakwenda kusaidia uzinduzi? Kiwanda cha milioni 100 msanii miliono 300 kuzindua! Hiyo ni akili?Acha wenge dozi Bado ππ
View: https://www.instagram.com/p/C-Ujl_ztIwS/?igsh=MTVwY3h2bDJwZDM4eQ==
Hii ni show na ccm wanajuwa watanzania sahv wanapenda burdan, Acha mletewe burdanNimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua au kufanya ziara za maendeleo hapa nchini. Gharama hizi zinatoka mfuko gani? Kwa umuhimu gani? Ili kumfurahisha nani? Je, Diamond naye anakwenda kukagua miradi?
Tunaomba majibu kutoka wizara husika.
View attachment 3062710
Mdomo hana? Au mdomo wa milioni 300 ni muhimu kuliko madawati ya watoto? Hauna akili nadhani ndiyo maana unaulizia shule, maana hata bila elimu hili ni jambo dogo la kung'amua kwa akili za kawaida.Bila shaka wewe ni mmoja wa machawa wasio na akili
Atapataje watu? Maana wanapenda Kwa hiari yao bila mabasi ya Abood na Fuso ni wachcheNimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua au kufanya ziara za maendeleo hapa nchini. Gharama hizi zinatoka mfuko gani? Kwa umuhimu gani? Ili kumfurahisha nani? Je, Diamond naye anakwenda kukagua miradi?
Tunaomba majibu kutoka wizara husika.
View attachment 3062710
Humu watoto wadogo pia wamo, usishangae sana.Kwamba rais Hana ujumbe Kwa wananchi wake?
Yaani unataka kuniambia rais anatembea tu bila kizungumza chochote?
Na shule ulienda?