mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,223
- 1,393
Noma katikà uwazi palikuwa na story moja Kali sana inaitwa Judge nieleze nini kitanipata , ---- baada ya hiyo kuisha ndio ikaja Raisi anampenda mke wanguEnzi hizo lazima ununue gazeti la Ijumaa au Uwazi ufatilie hadithi zake
Umetishaaaa, una kumbukumbu nzuri sanaNoma katikà uwazi palikuwa na story moja Kali sana inaitwa Judge nieleze nini kitanipata , ---- baada ya hiyo kuisha ndio ikaja Raisi anampenda mke wangu
Uandishi ni hobby yangu tu, sichapishi wala siuzi, isipokua watu wangu wachache sana ndio husoma.Nipe jina lako PM nianze kunua kazi zako maana mimi ni msomaji wa vitabu vya fasihi.
Hata mimi wakati mwingine hufanya hivyo.Uandishi ni hobby yangu tu, sichapishi wala siuzi, isipokua watu wangu wachache sana ndio husoma.
MhmmmmmmMcheki Shigongo dm akutumie
Unavyo vitabu Dr?Jamaa alikua genious kwenye utunzi na uandishi, unaambiwa hadi bongo movies walishindwa kutumia stories zake sababu hawakua na bajeti 😀
Ni mtu ambaye alini inspire sana kwenye uandishi
Vyangu mwenyewe? sijawahi kupublish, naandika as a hobbyUnavyo vitabu Dr?