Rais anapoweka rehani maisha yake

wewe si unamuona obama yuko mtaani anasukuma toroli lenye bidhaa alizotoka kununua sokoni,...tena kwa usafiri wa miguu kabisa

Ningetazamia ungesoma maelezo niliyotoa ziada ya kichwa cha habari. Obama unayemzungumzia alipofika pale farmers market kununua maboga kwa ajili ya kumbukumbu ya hallowen na thanksgiving gari alilokuja nalo alikaa seat ya kati kama kawaida. Na hapo alipo ukiangalia sana hiyo avator unaona kwa mbali wanausalama wakivinjari kulinda eneo hilo huku idadi ya watu eneo hilo limethibitiwa, ni wachache sana.

Hoja yako kutetea Rais Kikwete kukaa seat ya mbele na kufanya ulinganisho wa Obama kusukuma tolori lililosheheni maboga pale farmers market hali mshiko kwa maana ya mazingira ya kununua sokoni na kusafiri barabarani ni mambo mawili tofauti na yanayohitaji mfumo wa ulinzi tofauti. Utetezi wako naona umekosa nguvu kwa hoja ya kusukuma tolori. Ni sawa na kushika shovel (sepetu) anapotia utongo kuzika wafu ni nafasi tofauti na hii ya kusafiri barabarani.

Anaposafiri barabarani usalama si kutoka kwa maadui au kwa tafsiri nyingine watu wenye malengo mabaya naye, la hasha, ila ni usalama pia wa vyombo vya usalama kwa mategemeo kwamba seat ya kati itokeapo ajali ina unafuu wa kusalimika kuliko seat ya mbele.
 
Huwa anakaa siti ya nyuma, hii ilipangwa kwa ajiri ya kupigia picha tuu akiwa anawakejeri watoto wa masikini.
 
changanya na zako mbayuwayu wewe.....avatar umewekewa nn??

Nikupe pole, katika usafiri wa barabarani yamkini itokeapo ajali, waathirika wengi ni viti vya mbele huathirika zaidi kuliko viti vya kati na nyuma. Wazoefu waliweka utaratibu au mapokeo hayo kutokana na mlolongo wa matokeo yaliyowasibu wengi.

Naona tatizo lako umeangalia upande mmoja tu wa sarafu bila kupindua sarafu upande wa pili, na hivyo kutoa comment yako kufikiria maadui wanaotumia trigger tu badala ya ajali zinazoweza tokea vyombo vya usafiri.
 
Reactions: Obe
huzijui Nazi! mbona bagamoyo nyingi sana na za msoga ndo nzuri, siku hizi azam naye anauza zilizokunwa

Ina maana unatushauri tuache HIZI TULIZONAZO tutumie ZILIZOKUNWA??? Samahani; nauliza tuu...
 

anauza sura
 
unafikiri hilo gari lake ni kama kiji vitz chako cha kununua showroom za kijitonyama?
hiyo kitu ni special order for presidential status lina air bag mpaka kwenye vioo, ni bullet proof chezea mbayuwayu wewe.....
 

Mtamwonaje muuza sura?
 
Siku hizi wakitaka kukuondoa hata ukikaa kiti cha nyuma wanakuondoa tu; kwani Gadaffi alikaa kiti cha mbele drons zilipomdondoshea?
 
Hilo gari akifunga dirisha kiti kinampeleka kwenye buti aotomatically hapo anazuga tu
 
Uswahili umezidi kwetu huenda kasisimama hata walinzi/bodyguards hawajui ila dereva wake tu

Je kosa la nani?
 
Aaaaaaargh! huyu kwanza anapenda sana starehe wenzie kama yule wa Canada (sijui waziri Mkuu) anatembea sana na nginjo (Baiskeli) yake kuepuka foleni>.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…