BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Wakuu habari?
Hii trend ya kumsifia Rais kwa kila kitu hata ambavyo hajafanya na hahusiki navyo direct inazidi na tunakoelekea itawakatisha tamaa baadhi ya watu wenye moyo wakujitolea.
Kwenye taarifa ya habari leo ITV kuna mwananchi wilayani Kibiti kajitolea eneo lenye ukubwa wa hekari 9 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi kuwaepusha watoto wa eneo lile kutembea umbali mrefu kufuata shule huko iliko.
Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba kila alieohojiwa kwenye ile habari wakiongozwa na mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Pwani somebody Chatanda wamemwagia sifa kibao Rais Samia na sifa wanazotoa hamna namna zinam link rais husika na hili eneo alilolitoa mwananchi kwa ajili ya ujenzi wa shule. Mpaka nikahisi labda rais ana jina lingine anaitwa ndugu Salum Ally.
Mwisho wa siku mtoa eneo anakuja kupewa airtime mwishoni kabisa habari husika inakaribia kuisha. Sasa kwa mwendo huu si tutawakatisha tamaa wenye mioyo ya kujitolea? Maana hata mi siwezi kukubali kwa serikali hii ambayo inauza maeneo yote bila kuacha open space kwa ajili ya mahitaji ya baadae ya kijamii nijitolee eneo halafu sifa apewe mwana siasa.
Watanzania tupunguze uchawa kwenye kila kitu mbwa sisi
Inashangaza sana kwakweli, sijui tumekuwajeNa akilikoroga ni either hajashauriwa au wasaidizi wake hawawezi kasi yake.....; Sijui kwanini mambo yakienda vema wasipongezwe hao washauri na wasaidizi wanaompoteza pindi issue zikienda pear-shaped
Mambo ya ajabu kabisa aiseeKwanza kabisa napenda kumpongeza rais kwa blah blah blah blah blah.
Kutaja fnck!ng honorifics na sifa kwa rais zisizoeleweka kila mtu anapozungumza. Hii nchi waliopo kwenye nafasi zakufanya maamuzi ni matakataka watupu.
Mijizi mijangili mitupu.
Aliwaambia waandishi sijui wakimfanya nini atawaparura na ikiwa vinginevyo atawapapasa sina uhakika na meneno ila nina paraphraseInakuaje Rais alaumiwe kwa kusifiwa ?
Tatizo lipo hapo yakiharibika ni either washauri au watendaji ndio hawaendi kwa kasi yake... Full propaganda mwanzo mwisho....hata Kamanda wa Anga alimsifia Mama kwa kumtoa Gerezani japo yeye ndie aliemuweka
kama mambo yakiharibika popote pale nchini huwa tunamlaumu Rais basi na ya kitengamaa tusione wivu akisifiwa
Unafiki mtupuInakuaje Rais alaumiwe kwa kusifiwa ?
hata Kamanda wa Anga alimsifia Mama kwa kumtoa Gerezani japo yeye ndie aliemuweka
kama mambo yakiharibika popote pale nchini huwa tunamlaumu Rais basi na ya kitengamaa tusione wivu akisifiwa
Wameshajua jua udhaifu wake ni mpenda sifa hivyo anapewa sifa za hovyoWakuu habari?
Hii trend ya kumsifia Rais kwa kila kitu hata ambavyo hajafanya na hahusiki navyo direct inazidi na tunakoelekea itawakatisha tamaa baadhi ya watu wenye moyo wakujitolea.
Kwenye taarifa ya habari leo ITV kuna mwananchi wilayani Kibiti kajitolea eneo lenye ukubwa wa hekari 9 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi kuwaepusha watoto wa eneo lile kutembea umbali mrefu kufuata shule huko iliko.
Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba kila alieohojiwa kwenye ile habari wakiongozwa na mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Pwani somebody Chatanda wamemwagia sifa kibao Rais Samia na sifa wanazotoa hamna namna zinam link rais husika na hili eneo alilolitoa mwananchi kwa ajili ya ujenzi wa shule. Mpaka nikahisi labda rais ana jina lingine anaitwa ndugu Salum Ally.
Mwisho wa siku mtoa eneo anakuja kupewa airtime mwishoni kabisa habari husika inakaribia kuisha. Sasa kwa mwendo huu si tutawakatisha tamaa wenye mioyo ya kujitolea? Maana hata mi siwezi kukubali kwa serikali hii ambayo inauza maeneo yote bila kuacha open space kwa ajili ya mahitaji ya baadae ya kijamii nijitolee eneo halafu sifa apewe mwana siasa.
Watanzania tupunguze uchawa kwenye kila kitu mbwa sisi
Ni mambo ya hovyo snhata mvua ikinyesha wanasema mama anaupiga mwingi... roma mkatoliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Sasa ni wivu wa kike 🤣🤣Wakuu habari?