wanajua wana zero support ukiacha wale wanaokula /wanaotafuna nchi hiiBasi kama ni hivyo, kwa nini tuogope reforms?
Si bora tufungue milango, kila mtu ashindane kwa uwanja sawa, halafu tuwashinde kishujaa kama tulivyozoea?
CCM ina nguvu.
CCM ina mtandao.
CCM ina historia.
Hatukuelewi sisi mama mitano tena ndiyo tunachojuaNingependa kuona Tanzania inakuwa na democrasia ya nchi kama Ghana. Ningependa kuona Tanzania inaendeleza vipaji na uwajibikaji wa watoto wao kwa kuwapa stadi na elimu nzuri ili Taifa lipate maendeleo ya kweli.
Tunachoogopa nini? Maana kuna mambo hakuna atakayeweza kuyalinda kwa muda mrefu. Mabadiliko yanalazimisha mabadiliko mengine yatokee.
Kwanini tusianze kwa kuyaruhusu kwa utaratibu, badala ya kusubiri yaje kama mafuriko?
Hatukuelewi sisi mama mitano tena ndiyo tunachojua
NYUMBU wa KIJANI ni waoga kwenye fair ground kupita maelezoWe katiki kwanza
Kabisa kipindi Cha masika mafuriko yanakuja tu hata kama hutakiHata kama kumi..haina shida. Mabadiliko yatakuja tu, hata kama hatuyapendi. Kwanini tusiwe sehemu ya mchakato mzima, mzuri wa mabadiliko hayo?
Kuna vitu kwenye haya maisha, hakuna mtu anaweza kuvizuia
Kila mmoja aliyepale juu analinda maslahi ndiyo tatizo kubwaDunia ni watu,watu wanabadilika kulingana na mazingira,Hii Hali ya Kupenda kulazimisha watu waende kama vipofu si sawa,maana watu wameelimika, mambo ya mabadiliko hayana kuyazuia, mwisho wa siku hatuna wa kumlaumu kila mtu atashangaa!,Ndio Viongozi na wapambe wanakotupeleka,nao watasemavtulilazimishwa kwa kupewa hela,watoa hela nao watasema tulilazimishwa ili mambo yaende, Viongozi watasema tuliaminishwa kwamba, wananchi ndivyo watakavyo! Katiba hii ya Warioba pia ipitiwe upya maana kuna mambo yanakuwa yameaanza kupitwa na wakati.Ifikie mahali tuachane na Uchawa tuwe wakweli ili kuinusuru nchi yetu.Haya yaliyotokea Rwanda,Burundi,Kongo yalianza kama utani matokeo yake wote tunayaona!
we katikiNYUMBU wa KIJANI ni waoga kwenye fair ground kupita maelezo
Katiki mwenyew mimi nitakuwa nacheki 📈we katiki
Hata kama ni kulinda maslahi, mwisho wa siku watayakimbia!Kila mmoja aliyepale juu analinda maslahi ndiyo tatizo kubwa
Bora usalama na Amani,kuliko maslahi kwenye Hatari!Hata kama ni kulinda maslahi, mwisho wa siku watayakimbia!