Rais anaweza kumfukuza jaji mkuu ?

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
886
Wajuzi nisaidieni elimu, naomba kuuliza, Rais wa nchi ya Tanzania ana mamlaka ya kumfuta kazi Jaji Mkuu aliyemteua?
 
kama hajamteua mpaka sasa anashindwa nini kumfukuza?
Labda anatafuta anaeweza kutengeneza mbeleko
 
Wajuzi nisaidieni elimu, naomba kuuliza, Rais wa nchi ya Tanzania ana mamlaka ya kumfuta kazi Jaji Mkuu aliyemteua?
Anaweza maana ndiye aliemtua
Ila cha ajabu jaji mkuu anateuliwa na rais na huyo huyo jaji mkuu ndie anamupisha rais
 
Wajuzi nisaidieni elimu, naomba kuuliza, Rais wa nchi ya Tanzania ana mamlaka ya kumfuta kazi Jaji Mkuu aliyemteua?
Hapana, kwa mujibu wa katiba Raisi anaweza kumteua jaji mkuu; lakini hana uwezo wa kumfukuza kazi jaji YEYOTE! Mfano mzuri ni wale majaji waliokuwa wanatuhumiwa kwa ufisadi escrow iliwabidi kujiuzulu wao wenyewe.
By BabaLute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…