Rais anayejua hadi idadi ya mimba zilizotungwa!

Rais anayejua hadi idadi ya mimba zilizotungwa!

gwamaka aswile

Senior Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
186
Reaction score
106
kwa mara ya kwanza duniani, tanzania tumempata rais kichwa, jiniaz wa nguvu, rais anayejua hadi mimba zilizotungwa na watoto watakaozaliwa, anajua kuna mayai ya samaki mangapi, n.k hatutaki mtu hata kumbukumbu hana eti awe rais wetu.
 
Kichwa alikuwa nyerere.
Anahutubia bila kipande cha karatasi.
Anaongea facts tupu.
Hotuba zinasisimua hata baada ya ma karne kupita.
Huyo rais wako asilimia kubwa ya hotuba na matamko yake anayajutia.
Mojawapo ni hiyo ya mayai ya samaki.
Huo Ukichwa unaouona sisi huku kwetu alitwambia kama hatuna mia mbili tupige mbizi.
Sasa na sisi tunamjibu akizihitaji kura zetu aje apige mbizi atuombe KURA.
vinginevyo abaki na ukichwa wake.
 
Magufuli angekuwa MSABATO tungesema tumepata mtu wa fungu la kukariri kwenye shule ya sabato sehemu ya kwanza

Lakini watanzania tumechoka na maneno,tunataka mtu sasa wa kufikiri na kutenda
 
Back
Top Bottom