kwa mara ya kwanza duniani, tanzania tumempata rais kichwa, jiniaz wa nguvu, rais anayejua hadi mimba zilizotungwa na watoto watakaozaliwa, anajua kuna mayai ya samaki mangapi, n.k hatutaki mtu hata kumbukumbu hana eti awe rais wetu.
Kichwa alikuwa nyerere.
Anahutubia bila kipande cha karatasi.
Anaongea facts tupu.
Hotuba zinasisimua hata baada ya ma karne kupita.
Huyo rais wako asilimia kubwa ya hotuba na matamko yake anayajutia.
Mojawapo ni hiyo ya mayai ya samaki.
Huo Ukichwa unaouona sisi huku kwetu alitwambia kama hatuna mia mbili tupige mbizi.
Sasa na sisi tunamjibu akizihitaji kura zetu aje apige mbizi atuombe KURA.
vinginevyo abaki na ukichwa wake.