Rais Andry Rajoelina akimbia Madagascar ili kulinda maisha yake kufuatia maandamano ya kitaifa

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Rais Andry Rajoelina amekimbia Madagascar ili kulinda maisha yake kufuatia maandamano ya kitaifa ambayo yalianza mwishoni mwa Septemba.

Rajoelina alithibitisha kupitia hotuba ya moja kwa moja kwenye Facebook siku ya Jumatatu kwamba amesafiri kwenda eneo salama, kufuatia ripoti na uvumi kwamba alikuwa ameondolewa nchini siku ya Jumapili.

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 51 hakufichua alipo.

Rajoelina alitarajiwa kutoa hotuba ya televisheni Jumatatu jioni, lakini hotuba hiyo iliahirishwa baada ya “kikundi cha majeshi yenye silaha kutishia kuchukua udhibiti wa vyombo vya habari vya umma,” kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi yake kupitia Facebook.
===============
President Andry Rajoelina has fled Madagascar to protect his life amid nationwide protests, which began late in September.

Rajoelina confirmed in a live Facebook address on Monday that he had travelled to a safe location following reports and rumours that he had been flown out of the country on Sunday.

The 51-year-old did not disclose his whereabouts.

Rajoelina had been due to give a television address on Monday afternoon, but the speech was delayed after “a group of armed forces threatened to take control of the state-owned media”, Rajoelina’s office said on Facebook.
 
Hapo nawahurumia sana machawa wake waliokua wanabeza jitihada, wameachwa mitaani, wanafahamika wanakoishi, inapaswa iwe funzo kwa wengine humu Afrika, unaweza ukawa unashabikia udhalimu wa kiongozi wa leo anavyoua, kudhulumu na kunyanyasa watu, ila siku kitawaka, jiandae kupaa naye....
 
Kuna ndugu yetu aliamiaga huko na ng'ombe na mifugo longtime miaka ya 90. Mshua alimshangaa kwasababu ilikuwa pori. Labda unamfahamu
Daah kweli kwa miaka hiyo ni mapori balaa ingawa kwa sasa ni makazi ya watu.

Mimi huko ni kwa babu yangu alikuwa na mashamba udindivu kerege CCM na kwa kiwete sio mkazi kivile.

Ni kutembelea mashamba, kuuza when necessary na kurudi Bagamoyo kula pweza na ngisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…