Raisi Wangu ni Msikivu Sana
Naomba uniruhusu mimi na Watanzania Wenzangu tukawatandike fimbo za kutosha kuanzia wachezaji na benchi nzima ya ufundi maana wamehujumu uchumi wetu kwa kuchezea rasilimali za Taifa bila faida.
Mheshimiwa Raisi Hawa tukiwaacha bila kuwachapa viboko watazoea kutuaibisha, wanatakiwa siku wanarudi tu kila mmoja apigwe viboko 14 ili wakae sawa kiakili maana wametutia aibu sana hawa watu.