Wa hovyo sana wewe, tena huna adabu. Wachezaji wetu wamejituma sana, tena sana.Raisi Wangu ni Msikivu Sana
Naomba uniruhusu mimi na Watanzania Wenzangu tukawatandike fimbo za kutosha kuanzia wachezaji na benchi nzima ya ufundi maana wamehujumu uchumi wetu kwa kuchezea rasilimali za Taifa bila faida.
Mheshimiwa Raisi Hawa tukiwaacha bila kuwachapa viboko watazoea kutuaibisha, wanatakiwa siku wanarudi tu kila mmoja apigwe viboko 14 ili wakae sawa kiakili maana wametutia aibu sana hawa watu.
Hii ndio shida ya mpira kuvamiwa na wanasiasa.Raisi Wangu ni Msikivu Sana
Naomba uniruhusu mimi na Watanzania Wenzangu tukawatandike fimbo za kutosha kuanzia wachezaji na benchi nzima ya ufundi maana wamehujumu uchumi wetu kwa kuchezea rasilimali za Taifa bila faida.
Mheshimiwa Raisi Hawa tukiwaacha bila kuwachapa viboko watazoea kutuaibisha, wanatakiwa siku wanarudi tu kila mmoja apigwe viboko 14 ili wakae sawa kiakili maana wametutia aibu sana hawa watu.
Wanajichomeka kati kama mkuyenge🤔🤔🤔🤔Hapana. Taifa Stars ina matatizo mengi ya msingi, ambalo linahitaji mjadala wa kitaifa. Ila tabu ipo kwa wanasiasi kujichomeka kati.