BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Juzi umefanyika uteuzi wa majaji kumi. Mbona hukusema? Huyo hana sifa? Jamani acheni chukiSafiiiii. Sina utaalam sana wa majina, especially femine names!!! Je huyu ni mwanamke au mwanaume??? Ila angalao najua ni jina la Kiislam. Hongera mzee wa kaya. Fadhila unazijua. Kama vile ambavyo taarifa zipo kuwa kila majina matatu yanayotakiwa kupelekwa kwa vetting ni lazima mawili yawe ya Waislam or at least one!!! It means asikosekane katika list!!!! Na kwa sababu you think you are minority then ni lazima Athman na Asha wateuliwe/kupitishwa. Kwa mtindo huu, ndiyo maana tunaona utendaji ulivyo kwa sasa. Soma alama za nyakati mzeee. Wenzako wajanja wana mix au kutafuta vichwa vya kuleta ufanisi. Mbona tusiangalie hata mheshimiwa Obama katika uteuzi??? Alitafuta vichwa hata kama vilikuwa karibu naye lakini hakufanya makosa na kila Wamarekani wanafurahia kwa kutumia vema Demokrasia yao November mwaka jana. Sisi je, ushikaji, undugu, u yakhe, unini , uule n.k.
Inawezekana ana sifa maana alikuwa U.N. Who knows. Yote yanaweza kuwa sawa.
Safiiiii. Sina utaalam sana wa majina, especially femine names!!! Je huyu ni mwanamke au mwanaume??? Ila angalao najua ni jina la Kiislam. Hongera mzee wa kaya. Fadhila unazijua. Kama vile ambavyo taarifa zipo kuwa kila majina matatu yanayotakiwa kupelekwa kwa vetting ni lazima mawili yawe ya Waislam or at least one!!! It means asikosekane katika list!!!! Na kwa sababu you think you are minority then ni lazima Athman na Asha wateuliwe/kupitishwa. Kwa mtindo huu, ndiyo maana tunaona utendaji ulivyo kwa sasa. Soma alama za nyakati mzeee. Wenzako wajanja wana mix au kutafuta vichwa vya kuleta ufanisi. Mbona tusiangalie hata mheshimiwa Obama katika uteuzi??? Alitafuta vichwa hata kama vilikuwa karibu naye lakini hakufanya makosa na kila Wamarekani wanafurahia kwa kutumia vema Demokrasia yao November mwaka jana. Sisi je, ushikaji, undugu, u yakhe, unini , uule n.k.
Inawezekana ana sifa maana alikuwa U.N. Who knows. Yote yanaweza kuwa sawa.
Kama vile ambavyo taarifa zipo kuwa kila majina matatu yanayotakiwa kupelekwa kwa vetting ni lazima mawili yawe ya Waislam or at least one!!! It means asikosekane katika list!!!! Na kwa sababu you think you are minority then ni lazima Athman na Asha wateuliwe/kupitishwa. Kwa mtindo huu, ndiyo maana tunaona utendaji ulivyo kwa sasa. Soma alama za nyakati mzeee. Wenzako wajanja wana mix au kutafuta vichwa vya kuleta ufanisi. Mbona tusiangalie hata mheshimiwa Obama katika uteuzi??? Alitafuta vichwa hata kama vilikuwa karibu naye lakini hakufanya makosa na kila Wamarekani wanafurahia kwa kutumia vema Demokrasia yao November mwaka jana.
?? Are you for or against ??
Huyu ndugu ana uzoefu mzuri tu mimi na question docile nature yake na kama ni appropriate at this day and time kwenye international forums.
Maane, hivi ulitegemea katika vetting hakutakuwa na probability ya kumpata muislamu ndani ya majina matatu??? OMG...Kwahiyo ulitaka achague dini gani katika hayo majina matatu??? ya kingunge??? Na huyo Obama aliowachagua unajua dini zao??? Weka data kama mteuliwa anafaa au hafai!!!! Treni nyingine hawdandii kwa mbele zinatumia umeme (au umeme jua)
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Give me a glass of pure and safe water. I will use tha elecricity to boil the water to kill the germs of nepotism. Nitadandia kwa mbele na sitapata shot ya umeme.
?? Are you for or against ??
Huyu ndugu ana uzoefu mzuri tu mimi na question docile nature yake na kama ni appropriate at this day and time kwenye international forums.
Safiiii. Tudondosheeni CV yake. Among, ionyeshe umri. Hapo tutaona his/her appropriateness!!!!
Mimi nataka vetting ya high level appointments ifanyike na Bunge kwa maswali ya Wazi kama kule marekani na kwingineko ambako kuna demokrasia ya kweli. Apointees wote waitwe mbele ya Bunge kwa maswali.
hahahaaaaa, umeniweza maana kama waweza dandia treni ya umeme kwa mbele!!! YAngu macho
My point is clear, before we oppose, we need to have justifications of our acts... ARE YOU COMFORTABLE TO PROVIDE SOME??
BUNGE LENYEWE LIPI HILO??? la kingunge na Makamba??? hivi wewe uko sirias kuwakabidhi akina zungu wamhoji mwanadiplomasia wetu... si watasema kafulia!!!
We need 400 years kuwa na demokrasia ya USA
In one of my earlier posts nimeomba mwenye CV yake fully anidondoshee hapa. Yaani ile VC ya Kitanzania ambayo ina most of data na si kama zile za Ki-international ambazo zinafuata format fulani ambazo hazichukua mambo yote.
Safiiiii. Sina utaalam sana wa majina, especially femine names!!! Je huyu ni mwanamke au mwanaume??? Ila angalao najua ni jina la Kiislam. Hongera mzee wa kaya. Fadhila unazijua. Kama vile ambavyo taarifa zipo kuwa kila majina matatu yanayotakiwa kupelekwa kwa vetting ni lazima mawili yawe ya Waislam or at least one!!! It means asikosekane katika list!!!! Na kwa sababu you think you are minority then ni lazima Athman na Asha wateuliwe/kupitishwa. Kwa mtindo huu, ndiyo maana tunaona utendaji ulivyo kwa sasa. Soma alama za nyakati mzeee. Wenzako wajanja wana mix au kutafuta vichwa vya kuleta ufanisi. Mbona tusiangalie hata mheshimiwa Obama katika uteuzi??? Alitafuta vichwa hata kama vilikuwa karibu naye lakini hakufanya makosa na kila Wamarekani wanafurahia kwa kutumia vema Demokrasia yao November mwaka jana. Sisi je, ushikaji, undugu, u yakhe, unini , uule n.k.
Inawezekana ana sifa maana alikuwa U.N. Who knows. Yote yanaweza kuwa sawa.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Give me a glass of pure and safe water. I will use tha elecricity to boil the water to kill the germs of nepotism. Nitadandia kwa mbele na sitapata shot ya umeme.
MAANE GONGA HAPAhttp://www.tanzania.go.tz/newf.html
Cheershahahaaaaa, umeniweza maana kama waweza dandia treni ya umeme kwa mbele!!! YAngu macho
My point is clear, before we oppose, we need to have justifications of our acts... ARE YOU COMFORTABLE TO PROVIDE SOME??
Mbona hujaomba CV au vetting kwa wale majaji kumi walioteuliwa na JK? au kwa sababu huyu humjui kama ni mwanamme au mwanamke? nadhani unalakojambo. wtaku-wind up na utalisema, nasubiri.
Si kuchoka unafrustrations zako. Haya huyo mama hayuko juu? Yah unapaswa pia kutambua hauko peke yako hata mie watashangaa naandika hopeful tutakutana wanapotufukuza. Lakini hii haijastify kutokuwa wakweli tuache kukurupuka. Tutumie akili zetu kwa busara maana mtundiko wako umejaa jazbaWaje sasa hivi kuni-wind up, rolling up, bending up, etc. Siwaogopi. Basi na waje hapa watufafanulie uozo wote uliopo. Shitishiwi mimi. Ndipo hapa watashangaa tutakapotizamana uso kwa uso hawataamini kuwa ni mimi naandika hapa. Sana sana nitawaambia nimechoka na wanifukuze kazi!! Naamini umenipata kidogo hapo!!!!!!!!! Hapa kwenye jamvi tuko wengi!!!! wa aina tofauti tofauti!!!!!!! Karibu.
N.B Majaji wote wako juu ndiyo maana sijawaulizia!!!!!!! Kuna la zaidi kaka/dada??