Rais atokanaye na uraia wa nchi mbili

Rais atokanaye na uraia wa nchi mbili

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,120
Reaction score
3,468
Katika katiba mpya wagombea urais, wabunge ambao kabla ya kuchukua fomu kwa nia hiyo kama watakuwa na uraia wa nchi mbili wasiruhusiwe kugombea urais wala ubunge. Hii itatokana na ukweli wa haya yanayotokea leo.
1. Wizi wa raslimali za nchi umekithiri sana na wezi wakubwa ni hawa hawa viongozi wetu.
2. Uzoefu umeonyesha kwamba hawa viongozi wetu mara tu wakiapishwa akili zao ni kusafiri nafahamu safari ni muhimu kwa viongozi lakini nchi bila rais miaka 3!
 
unachagua rais kumbe ana uraia mwingine kazi kusafiri tuuu....
 
jamani mtu mwenye uraia wa nchi mbili huyo atakuwa mwizi mfamizi,bali anatakiwa kuwa na uraia wa nchi moja tu,vipi kwa mwenye sifa za uraia pande mbili?ni yeye mwenyewe achague uraia upi apewe kabla ya miaka 18!baada ya hapo ni raia wa atakapokuwepo kwa kuwa sifa anazo!ethnicity and race ni kitu cha kimataifa na hutokana na migration ambazo ni sharti hutokea katika muingiliano na jamii,muone OBAMA NA MAREKANI YOTE KWA UJUMLA.angalia na migration ya AFRICA.tuangalie kwa upana na kutunga katiba ya kudumu tusije anza baguana hata kwa rangi jamani!
 
Back
Top Bottom