jamani mtu mwenye uraia wa nchi mbili huyo atakuwa mwizi mfamizi,bali anatakiwa kuwa na uraia wa nchi moja tu,vipi kwa mwenye sifa za uraia pande mbili?ni yeye mwenyewe achague uraia upi apewe kabla ya miaka 18!baada ya hapo ni raia wa atakapokuwepo kwa kuwa sifa anazo!ethnicity and race ni kitu cha kimataifa na hutokana na migration ambazo ni sharti hutokea katika muingiliano na jamii,muone OBAMA NA MAREKANI YOTE KWA UJUMLA.angalia na migration ya AFRICA.tuangalie kwa upana na kutunga katiba ya kudumu tusije anza baguana hata kwa rangi jamani!