SoC02 Rais azalishe wapata faida (wenye mitaji) kuliko wapata mishahara! Utajipatia mabilionea wa nchi yako

SoC02 Rais azalishe wapata faida (wenye mitaji) kuliko wapata mishahara! Utajipatia mabilionea wa nchi yako

Stories of Change - 2022 Competition

Tanzania wani

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
6
Reaction score
4
Nchi tuliikuta na ipo na itaendelea kuwepo! Ila wananchi tunabadilishana kupitia kizazi na kizazi!na uongozi unabadilika pia dunia inaenda na wakati.

Dhana mbaya ya marais ni kutaka kufanya mambo yoooote ayafaye yeye na amalize yeye ili ajaye akose cha kufanya jibu ni no! No! No!

Rais inakupasa kutekeleza ilani ya kimkakati kufikisha malengo.

yaani kama nchi ina tatizo la UMEME basi jikite umalize KABISA yaani hilo tatizo liishe ukimaliza muda wako utakumbukwa sana!

Kama ni MAJI SAFI KWA KILA MAKAZI Basi tumia njia zako kwa kipindi ulichopewa kuhakikisha maji safi yanapatikana pahali poteeeh!ili ajae afanye jingine!

Kama taifa linaKILIMO NA UVUVI NA UFUGAJI basi jikite kuhakikisha mazao ya kimkakati yanafikia malengo kuanzia shambani hadi sokoni ndani na nje kimfumo! Na wananchi wako watakimbilia fursa na utazalisha wapata faida na sio wapata mshahara!

KAMA LENGO NI KUPUNGUZA IDADI YA WAPATA MISHAHARA ILI WAWE WAPATA VIPATO BASI JIKITE KWENYE MAENEO AMBAYO YANATENGENEZA FURSA ILI TAIFA LIJIVUNIE MABILIONEA KWA KUWAWEZESHA KIMFUMO NJE NA NDANI KWENYE NYANJA ZA SAYANSI, MICHEZO, TEKNOLOGIA, ELIMU, ASILI, ARDHI, VIWANDA, AFYA, TAASISI ZA KIFEDHA, UJASILIAMALI, na nyingine nyingi utambue kila nyanja ina beba kundi la wananchi watakao jitegemea na kutegemea utabarikiwa sana ukimaliza uongozi wako!

Ukiwa rais kumbuka wewe ndiye dereva yakupasa kuwa katika hali yoyote ili kulinda maslahi ya taifa kuwa mkali ,kuwa mpole,kuwa mfariji,kuwa mkatili,zoooote hili sio dhambi ni kuwezeka kufikisha safari ifike salama na pahali sahihi!!

RUHUSU CHAKE KIDOGO ILA WAPE CHAKO KINGI hii ndio nchi za kidigitali unazalisha mambo mengi kwa wingi unawapelekea na unaingiza kidogo chao ili kuchochea chako kiwe bora kuliko chao!!

FANIKISHA WAKWAKO WATOKE NJE KWA NYANJA MBALIMBALI ILA WAO WAINGIE KWAKO KIDOGO KULINDA MAENDELEO YA WAKWAKO NA VIPATO VYAO!!

HATA malezi unaweza ukawa umenunua baiskeli ya mtoto wako lakini isimfae wakati ule kazi yako ni kumtunzia ili muda ukifika aitumie sio kumpa mtoto wa mwenzako aitumie ili wakwako akikuwa ampe hapo mwanao atatumia kilichochakaa na hatofurahia maana alifahamu fika kuwa ilikuwa yake!!yaani MIGODI ANA VITU VINGINE KAMA MWANANCHI WAKO HANA UJUZI NAO SIO UMWITE JIRANI AJE AVUNE UKAFURAHIA TOZO KISHA ANAONDOKA ANAACHA MASHIMO AMBAYO WANANCHI WAKO WAKIJAPATA ELIMU YA MADINI WANAKOSA PA KUFANYIA SO VIZURI KUHARAKISHIA MAMBO!!SUBRA NI HERI!
 
Upvote 2
Back
Top Bottom