Habari zilizopatikana Dodoma ni Kuwa Rais Bashir wa Sudan katuma ujumbe kuwa anajuta kupuuza ushauri wa kumuagiza na kumuajiri Kamanda wa Polisi Dodoma mzee wa "Watapigwa wachakae" ambaye anajinasibu kuwa yeye ni kiboko ya maandamano.
Maendeleo hayana chama