Rais Biden aagiza kuachiwa mapipa milioni 10 ya mafuta baada OPEC kutangaza kupunguza uzalishaji

Hahaha umewaza kitoto
Mimi au hao walio strategize hivyo? Yaani hujui kwamba hiyo ndio ilikuwa plan ya USA na allies? I say, wewe kweli kilaza wa current affairs. Unasikiliza nini, Radio TBS?

Niambie, unafikiri sababu ya kuwawekea vikwazo matajiri wakubwa wa Urusi pamoja na huyu aliyemiliki Chelsea, na kuwaambia ndege zote za anazomiliki zizuiliwe ni nini?
 
Pamoja na kuwa na miaka 70 plus mwenzio ameweka history ya kuwa rais wa Marekani, wewe unaweza kufa hata ubalozi wa nyumba 10 hujaupata?
Mimi nimeweka record ya kukufanya wewe kua mke wangu wa 2,inanitosha sana hio record.
 
Tutasubiri na nani? Mie nakuambia kinachoedelea toka nchi zinazoisupport Ukraine unaniambia tutasubiri. Inaonekana umezoea sana siasa za kishabiki za hapa kati ya CCM na Chadema. Mie sio wa level hiyo
Wewe ndo inaonekana una hizo siasa za kishabiki ni wapi nimeandika CDM na CCM?
 
Afrika tuna hazina kubwa ya mafuta, basi tunashikiwa akili tu na ujinga wetu, yaani tumekosa viongozi bora kwani wote ni vibaraka
 
Huu mchuzi wa Dinasours utaendelea kuwa na demand kwa miaka mingi sana ijao, yawezekana sisi sote humu tukafa na huu mchuzi bado ukaendelea kutumika. Wakitaka usiwe na demand, wakubali kutumia nuclear power, ndio nishati pekee inayoweza kumeet demands. Ule mbadala wao wa kutumia betri kwenye vyombo ni mpango usiokuwa na future, maana process za uzalishaji wa hizo betri ni uchafuzi mkubwa wa mazingira kuliko hayo mafuta. Betri zenyewe hazina uhai mrefu, zitatupwa wapi zisichafue mazingira?

All in all ni wakati wa kujenga refinery na kuchimba mchuzi wetu wenyewe, mana huo mchuzi uliopo zenji mpaka leo haujachimbwa, sijui wanasubiri nini SMT na SMZ.
 
America bana
 
Kama haya mafuta yameshauka kiasi hiki, mbona huku bongo hayajashuka?
 
Kuna watu wanaamini kuwa biashara ya mafuta ipo siku itakufa kabisa na kugeukia umeme,HIZO NI NDOTO.
Unataka waarabu wawe masikini?
Lani lenye mwanzo halina mw
Kuna watu wanaamini kuwa biashara ya mafuta ipo siku itakufa kabisa na kugeukia umeme,HIZO NI NDOTO.
Unataka waarabu wawe masikini?
Lakini lenye mwanzo lina mwisho ndugu.
 
Tutasubiri na nani? Mie nakuambia kinachoedelea toka nchi zinazoisupport Ukraine unaniambia tutasubiri. Inaonekana umezoea sana siasa za kishabiki za hapa kati ya CCM na Chadema. Mie sio wa level hiyo
Wewe wa Level ya siasa za kina Donald Trump 🎺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…