Rais Biden aonekana akitoka duka la vitabu huko Massachusetts amebeba kitabu kiitwacho "The Hundred Years’ War on Palestine’

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden siku ya Ijumaa alichukua nakala ya kitabu ambacho kilielezea Israeli kama nguvu ya kikoloni katika kukabiliana na upinzani wa Wapalestina licha ya kuunga mkono mara kwa mara kwa taifa la Kiyahudi.

Kitabu hicho kinasema kwamba "historia ya kisasa ya Palestina inaweza kueleweka vyema katika maneno haya: kama vita vya kikoloni vilivyofanywa dhidi ya wakazi wa asili, na vyama mbalimbali, ili kuwalazimisha kuachia nchi yao kwa watu wengine kinyume na matakwa yao."

Kimeandikwa na mwandishi wa kimarekani mwenye asili ya uarabuni aendaye kwa jina la Rashid Khalidi’s

Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday,

November 30, 2024

Biden spotted leaving bookstore holding ‘The Hundred Years’ War on Palestine’

By Jacob Magid Follow
Today, 4:59 pm

US President Joe Biden was spotted yesterday leaving a bookstore in Nantucket, Massachusetts holding Arab-American academic Rashid Khalidi’s “The Hundred Years’ War on Palestine.”

The book presents itself as “a history of settler colonialism and resistance from 1917 to 2017.”

Khalidi has argued that Palestinians living under Israeli military rule have a legal right to resistance and that supporters of Israel use McCarthyite tactics to silence debate in America.

Asked by the New York Post his thoughts on Biden picking up his book, Khalidi responds that it was “four years too late.”

Many Arab Americans who typically voted for Democratic candidates in presidential elections shifted their support to Donald Trump in this month’s election due to anger over Biden’s support for Israel in the war against Hamas.

Biden_1732969381214_1732969385009.jpg
biden-book1.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kitabu kinahusu miaka 100 ya vita dhidi ya Palestina

Kimeandikwa na mwandishi wa kimarekani mwenye asili ya uarabuni aendaye kwa jina la Rashid Khalidi’s

Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday,

November 30, 2024

Biden spotted leaving bookstore holding ‘The Hundred Years’ War on Palestine’

By Jacob Magid Follow
Today, 4:59 pm

US President Joe Biden was spotted yesterday leaving a bookstore in Nantucket, Massachusetts holding Arab-American academic Rashid Khalidi’s “The Hundred Years’ War on Palestine.”

The book presents itself as “a history of settler colonialism and resistance from 1917 to 2017.”

Khalidi has argued that Palestinians living under Israeli military rule have a legal right to resistance and that supporters of Israel use McCarthyite tactics to silence debate in America.

Asked by the New York Post his thoughts on Biden picking up his book, Khalidi responds that it was “four years too late.”

Many Arab Americans who typically voted for Democratic candidates in presidential elections shifted their support to Donald Trump in this month’s election due to anger over Biden’s support for Israel in the war against Hamas.
Picha iko wapi...?
 
Kwa hiyo hatima ya Palestine iko kwenye kitabu hiko mkuu..?
 
Daaaah nimecheka sana[emoji1787][emoji1787]
Jf mna nini lakini?
Jamaa tokea Kamala ashindwe uchaguzi mkuu, amekuwa miongoni mwa watu wenye furaha zaidi duniani. Unaambiwa hadi kigugumizi na unyonge vimempungua.
 
Back
Top Bottom