Rais Biden na shinikizo la kujiuzulu

Rais Biden na shinikizo la kujiuzulu

Librarian 105

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
261
Reaction score
356
Kifupi naungana na Wanachama wanaotaka aachie madaraka na kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwa mshindani wa Trump.

Hadi kufikia hatua ya kutaka kumbusu mwanamke mwingine akidhani mkewe Jill, mzee amechoka hakika Kwa maradhi basi tu anashinikiza kutaka kugombea urais Kwa muhula mwingine

IMG_20240719_182409.jpg
 
Ananikumbusha Jeremy Corbyn chama chake wabunge walipambana kweli aachie nafasi mtu mwingine agombee nafasi ya PM jamaa na team yake wabishi ving’ang’anizi kweli.

Uchaguzi kufanyika wabunge kibao wakajikuta hawana vibarua, halafu baada ya hapo anawaambia sorry; sorry for what.

Wengi walikuwa na hasira nae sana kushindwa kupo kwenye uchaguzi lakini kama kiongozi wa chama jamii inakuona weak unaondoa trust ya wapiga kura na kwenye nafasi za wengine.

Ndio Biden na democrats (dejavu) babu huna uwezo wa kuendesha nchi ata watoto wadogo wanaona aelewi somo. Sema Trump nae safari hii Wall Street hawamkubali kabisa.

Interesting things to come
 
Deep state haimkubali Trump ila Anakubalika na Wamarekan, Deep state inamtaka Biden kwakuwa keshachoka mwili na akili wanamcontrol wanavyotaka, na Hasa kwenye Biashara ya Silaha
 
Kwamba mpaka wewe mmatumbi unayajua haya?
 
Ananikumbusha Jeremy Corbyn chama chake wabunge walipambana kweli aachie nafasi mtu mwingine agombee nafasi ya PM jamaa na team yake wabishi ving’ang’anizi kweli.

Uchaguzi kufanyika wabunge kibao wakajikuta hawana vibarua, halafu baada ya hapo anawaambia sorry; sorry for what.

Wengi walikuwa na hasira nae sana kushindwa kupo kwenye uchaguzi lakini kama kiongozi wa chama jamii inakuona weak unaondoa trust ya wapiga kura na kwenye nafasi za wengine.

Ndio Biden na democrats (dejavu) babu huna uwezo wa kuendesha nchi ata watoto wadogo wanaona aelewi somo. Sema Trump nae safari hii Wall Street hawamkubali kabisa.

Interesting things to come
Kuna kitu kizito wall street kama kwenye masoko ya hisa na huyu jamaa trump ndio sehemu yake hapo.
Trump ana hedge fund tena zile zitakazo kuja kuwachakaza china we subiria
 
Biden hata akikutwa kalala na mwanamke mwingine, asemehewe tu, muda mwingi hajui hata anachofanya nini...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom